Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

Sasa hasira za nini gorgeousmim? kwani mimi ndio nimesababisha ukose mume?? Wewe njoo nikujaze mbegu unizalie toto lenye matege kama ukwaju baadae licheze mpira wa miguu.usihofu nitamtunza.haya ni pm swt!

thats all you can say ??mimi kukosa mume.....bora mie sijajaaliwa kuliko we ulojaaliwa umbumbumbu ha ha ha!
 
thats all you can say ??mimi kukosa mume.....bora mie sijajaaliwa kuliko we ulojaaliwa umbumbumbu ha ha ha!

Mbona huyu dada ananishukuru kwa ushauri mzuri.kweli mimi ni mbumbumbu wa kuhonga ili nipate papuchi.nina elf 5 vipi utanipa? Hata kama hujaolewa usinichukie hiyo, miaka yako 40 pls usikate tamaa,utapata kibabu tu.
 
Mbona huyu dada ananishukuru kwa ushauri mzuri.kweli mimi ni mbumbumbu wa kuhonga ili nipate papuchi.nina elf 5 vipi utanipa? Hata kama hujaolewa usinichukie hiyo, miaka yako 40 pls usikate tamaa,utapata kibabu tu.

hebu shika adabu yako ww shuwein...nani kakwambia mimi 40+ na kama unataka kununua katafute wanaouza!ubaradhuli tu!!
 
hebu shika adabu yako ww shuwein...nani kakwambia mimi 40+ na kama unataka kununua katafute wanaouza!ubaradhuli tu!!

Acha hasira mpenzi.sawa mimi nyama ya nguruwe kama ulivyoniita.Nimeshika adamu ila usiogope miaka swt wangu.kwani una miaka 40 au 50?
 
Nina busara sana tena nawashauri waafrika wezangu na wazungu alafu nina huruma natunza watoto yatima.

Wenye busara wala hawajisemi...Huwa tunawaona na busara zao.....Kichwa chako(skull) kina kinyesi na ubongo halisi upo makalioni....Ni hatari sana..
 
Sasa wewe utanisifia unanijua?? wanaonijua wananisifia sana tena sana.vipi na wewe unataka unisifie?? karibu dada usiku mmoja mpaka asubuhi utanisifia mpaka basi.

Matahira huwa wanasifiana....Sishangai ni matahira wenzako ndo waliokuwa wanakusifia....
 
Hata huyu dada kanishukuru sana tena sana.

Mtu akitoa speech mbovi inayo boa huwa tunampigia makofi ili amaliza fasta au aondoke...

Masikini zuzu wewe dada wa watu kashukuru ili uondoe shombo mbele yake.....Ni sawa na kakupigia makofu...

Sasa zuzu wewe na utahaira wako ukajua umesifiwa....pole sana...si makosa yako..ni ubongo wako upo makalioni..
 
Sasa hasira za nini gorgeousmim? kwani mimi ndio nimesababisha ukose mume?? Wewe njoo nikujaze mbegu unizalie toto lenye matege kama ukwaju baadae licheze mpira wa miguu.usihofu nitamtunza.haya ni pm swt!

Huu umbumbumbu wako hata tahira hawezi kuelezea...
 
Habari zenu wana jamiiforums.

Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru nyote kwa msaada wenu, mimi nina miaka miwili katika ndoa yangu sikupata mtoto lakini nilijaribu kusoma ushauri wenu tofauti tofauti kuhusu jinsi ya kupata mimba, nashukuru nikafanikiwa kupata ujauzito mwaka huu mwezi wa kwanza, lakini haikua riziki yangu ikatoka mwezi 1.

Lakini kwa sasa nina ujauzito tena wa mwezi 1 naomba ushauri wenu je nifanyeje ili yasitokee tena kama ya mwanzo?

Asanteni
Tabia hatarishi zinazoweza kusababisha utokaji wa mimba
· Unywaji pombe uliopitiliza.
· Uvutaji sigara
· Utumiaji madawa ya kulevya kama vile kokeini (cocaine)
· Utumiaji kwa wingi wa vinywaji vyenye kiasili cha caffeine kama vile kahawa au kakao.
Vipimo na Uchunguzi

Ili kutambua kuwepo kwa hali hii ya mimba kutoka, vipimo vifuatavyo vyaweza kufanywa na tabibu

· Kipimo cha mimba kwa kutumia mkojo (Urine for hCG)
· Kupima damu ili kufahamu kiasi cha wingi wa damu (haemoglobin level), kundi la damu (blood group) na muda wa damu kuganda (bleeding and clotting time).

· Kuchunguza iwapo shingo ya uzazi imefunga au ipo wazi, na pia kuchunguza iwapo kuna dalili ya kiumbe kutoka ama la. Uchunguzi huu huitwa speculum examination.

· Ultrasound ya nyonga (pelvic utrasound) kwa ajili ya kutambua iwapo kiumbe kipo ama la, na kama kipo je ki hai ama kimekufa.

· Aidha ni muhimu pia kufanya uchunguzi wa magonjwa mbali ya zinaa ambayo husababisha mimba kutoka.

Matibabu ya utokaji wa mimba
Matibabu ya utokaji wa mimba hutegea sana aina ya utokaji wa mimba. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia vitu vifuatavyo wakati wa kutoa matibabu kwa mtu aliyepoteza mimba

Wahudumu wa afya huzingatia kanuni zote (ABC) za kuokoa maisha ya mgonjwa kama vile

· kuhakikisha njia ya hewa ya mgonjwa ipo wazi na hewa inaingia na kutoka vizuri kwenye mapafu
· kuhakikisha mgonjwa anapumua vizuri bila shida
· kuhakikisha mishipa ya damu ya mgonjwa imewekwa mrija wa veni (intravenous line) na mgonjwa anapewa dripu ya maji ya normal saline.

·kuhakikisha mgonjwa anaongezwa damu haraka iwapo vipimo vitaonesha kuwa alipoteza damu kwa wingi

Matibabu ya mimba inayotishia kutoka (threatened abortion)
Kwenye hali hii, mgonjwa hutakiwa
· kupumzika kitandani bila kufanya kazi yeyote (complete bed rest) angalau kwa wiki moja au zaidi mpaka hapo damu itakapoacha kabisa kutoka

· kumpa ushauri na uhakika mama ili kumfanya atulie kiakili (assurance and proper councelling)

· Mama pia hupewa dawa za kumtuliza na kumfanya apumzike (sedatives) kama vile phernobabitone
· Aidha mama hupewa dawa kwa ajili ya kupunguza kusukuma kwa uterus (antispamodics) kama vile salbutamol
· Kutofanya tendo la ndoa kwa wiki mbili au tatu
· Aidha mama na mumewe hupewa ushauri juu ya tatizo hilo na jinsi ya kuendelea na matibabu
Matibabu ya mimba iliyotoka kamili (complete abortion)


Mara nyingi mgonjwa huwa haitaji matibabu zaidi ya uangalizi wa karibu kwa vile kiumbe pamoja na kondo lake la nyuma vyote huwa vimetoka kikamilifu. Mara chache sana, kulingana na jinsi daktari atakavyoona, mgonjwa anaweza kupewa antibiotiki kwa ajili ya kuzuia uwezekano wa kupata maambukizi.
Matibabu ya utokaji wa mimba usiokuwa kamili (incomplete abortion)

Matibabu ya aina hii ya utokaji wa mimba uhitaji mgonjwa kusafishwa kwa ajili ya kuondoa mabaki ya kiumbe (products of conception) yaliyobakia. Usafishaji huu huweza kufanywa kwa kutumia njia inayoitwa Manual Vacuum Aspiration (MVA).

Aidha mgonjwa hupewa dawa za antibiotiki kwa ajili ya kuzuia uwezekano wa maambukizi ya vimelea vya bakteria.


Matibabu mimba iliyotoka bila kugundulika kuwa imetoka (missed abortion)
Matibabu ya aina hii ya utokaji wa mimba ni pamoja na mgonjwa kuwekewa maji ya uchungu ili kiumbe kiweze kutoka. Wakati mwingine, daktari anaweza kuamua kusafisha mfuko wa uzazi (uterus) kwa kutumia njia inayoitwa dilatation and curettage. Sambamba na matibabu hayo, mgonjwa pia hupewa dawa za antibiotiki kwa ajili ya kuzuia maambukizi ya vimelea vya bakteria.


Matibabu ya tatizo la utokaji wa mimba unaojirudia (recurrent abortion)
Jambo la msingi katika matibabu ya tatizo la utokaji mimba unaojirudia (recurrent abortion) ni kugundua na kutambua chanzo kinachosababisha tatizo hilo na kisha kukishughulikia ili kuondoa kabisa kujirudia rudia kwa tatizo hili. Ukitaka maelezo zaidi tembelea blog yangu bonyeza hapa MIMBA KUTOKA (ABORTION) ~ Mzizi Mkavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom