Mkekete
mkuu hii nayo sio nzuri anaweza kuhamishia starehe kwenye kabang!
Mkekete
dar foleni,hatawahi huyo
hamna kitu hapo...Mhamishie ofisini kwenu.. Uwe naye kila dakika.. Kidooooogo itasaidia
alternative nyingi asubuhi muda wa kuvaa nguo wee chukua pichu yake naye achukue pichu yake mziombee kwamba asiivue mahali pengine ila nyumbani alipoivalia then unampa aivae , haha natania
weka plasta
![]()
au wooote waache kazi wawe wanashinda wote nyumbani...... hii itasaidia zaidi siyo kidogoMhamishie ofisini kwenu.. Uwe naye kila dakika.. Kidooooogo itasaidia
mweeh plasta?!! afuu I was looking for you.
Naona pale inaelekea chupi zenye vifuli zitakuwa na demand sana!!Wadau mimi nina ndoa changa ya miezi 6, sasa tuna fanya kazi wote hapa dar mimi niko posta yeye yuko mikocheni. sasa tatizo linalonitesa ni kuwa wake za watu ofisini kwenu wanagegedwa sana na wafanyakazi wenzetu ingawa wana waume zao majumbani kwao.
sasa nilikuwa najiuliza nimfanyeje wife ili muda wote kwanzia asubuhi mpaka hiyo usiku tunapokutana asiwe na hamu kabisa ya kufanya mapenzi?ili asije akarubuniwa na kunisaliti.