nifanyeje ajue nampenda

nifanyeje ajue nampenda

sikua type yake kwani nilijaribu kumuuliza kimaongezi anapenda mwanamke wa aina gani sifa alizozitaja sikua nayo hata moja,.."

Hata mie nampenda sana Mwajuma lakini sina sifa ambazo anazitaka. Kwa kifupi mie siyo type yake, kwa hiyo nimeamua kusepa na kumtafuta mwingine, pamoja na kwamba bado nampenda Mwajuma. Sitaki kuumizwa bure baadae ati pale atakapokutana na yule wa type yake.

nikaamua niende kwa mganga akanilia tu hela zangu sikufanikiwa, nikaamua kitu kimoja ili kujiridhisha nikatafutta lain mpya nikabadirisha na jina na sauti nikawa na mawasiliano na yeye ya kimapenzi bila yy kujua
Kama bado hakuna aliyekushauri ukatafute medical help, then nakushauri hivyo.

sasa miaka inaenda mi 3 sasa, kwa upande wangu mimi mhusika nikaamua nikaweka mazoe naye ya karibu ya kuheshimiana akawa ananiita mamdogo kiutani mpaka sasa tumekua family friend ndugu zake wananijua kama mamdogo wa kirafiki ndugu zangu wanamjua kwani kwangu huwa anafika na ananiheshim sana,nikawa nampa zawadi na pesa nyingi kwa kisingio kuwa nimepewa na yule feki sasa, nashindwa nifanyeje nampenda sana namaanisha nashindwa nifanyeje kwani tayari tupo kama ndugu sasa,
Ungekuwa type yake, wala msingefika huku

leokaniandikia msg kapata girlfriend mwingine baada ya aliekua nae kushindwa kuonana nae kwa miaka mi3 sasa amambae ni mm fake, nifanyeje ndugu zangu nampenda sana nashindwa kulala mpaka sasa ni saa 7 usiku sina usingizi namfikirianashindwa kumwambia kwa sababu kuu 2
1. sina sifa za kua nae
2. tayari tuna mahusiano kama ndugu na aniheshim sana mpaka ndugu zangu wanamjua na kumheshim nifanyeje

Kumpenda mtu haina maana na yeye atakupenda. You better move on now than latter. Blunt lakini ndiyo ukweli.

Hakuna hata haja ya kumwambia maana hata huo urafiki utakwisha.
 
There's no way unaweza kupata ushauri mzuri kama wa lara 1 hapo juu. Kwa kukuongezea tu ni kuwa acha woga. Nothing is impossible to the willing heart. By sheer determination you can GET HIM. Pia fuata ushauri wa EMT hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
huna sifa anazotaka,zipi hizo? hujawa wazi kwake kwann?,unahisi kwake yeye hana umeshindwa hata ku_act kwa vitendo.pole
 
pole sana happy amos kwasababu mwanume ni vigumu sana kumtreat mpaka akupende vinginevyo atakupenda kwa nje tu sio ndani ya moyo yaani fake love utapoteza muda wako ninavyojua wanaume kwa ukaribu mliokuwa nao angeshakutongoza ila sikukatishi tamaa jaribu kumwambia coz sijawahi kuona mwanume anatongozwa anakataa atakula mchezo tu vituko na maumivu utakayopata utamwacha mwenyewe.
 
tueleze sifa alizozitaja
unaposema huna sifa hata 1 si kweli kuwa mwanamke ni sifa moja wapo inayohitajika hata kama hakuitaja anzia hapo kujenga confidence but inanipa shaka juu ya umri wako na wake kwa sababu mama yako anamwita bibi na wewe anakuita mama mdogo but all in all undugu wenu huo wa bandia umetokana na wewe kumpenda vilevile undugu wenu unaweza kufa pale utakapo mkosa so tell him, waswahili wanasema liwalonaliwe isitoshe hawezi kuwaambia ndgu zako ete wewe ulimtongoza ndiyo maana amekata mawasiliano yaliyokuwepo
pls tell him right now
 
Hujiamini, how can you stay 4 such period without stating wat z in yo heart
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom