Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,863
- 3,415
Yahdaahhh pole sana!ulimwonjesha mpiko?
NdioKwan ulishampa mchezo ndan ya huo muda mfupi
wanaume wengi wako hivi.
Ni kwavile nilimwamin saana.Daah kazi kweli week 2 tu ushamwonjesha mchezoo...!! Easy come easy go...!!
Ahsante saaaana[emoji120]wanaume wengi wako hivi.
ukimwonjesha ndio umemtimua ataanza kuogopa kupigwa vizinga na kupigiwa simu maana wengine ni waume za watu!alichokuwa anatafuta amekipata.mwanaume yuko tofauti huwa anatamani kisha ndio anakuja kupenda.unaweza kujihisi labda una kasoro ndio sababu lakini hapana ukifikiria hivyo utazidi kuwaonjesha kama muuza karanga mwisho wa siku hakuna hata mmoja atanunua karanga zako.watakwambia mara zimeungua au hazijaiva vizuri.pole sana subiri tu ipo siku utapata soulmate wako
AmeenDuuuhhhh kazi kweli kweli.
Usisumbuke kuusemea moyo wa mtu. Muhimu ni kutafuta "majukwaa" ya kukusaidia kukutana na aina ya mtu unaemhitaji.
Mungu akutangulie ktk hilo
Naumia tu kwa vile nilimpendaunampenda am a unahuzunika kwa sababu umempa mchezo?au unauohofia upweke?
wk mbili chache kuumia...wish you quickly recover
Sawa ahsanteNa ukome kutongoza wanaume![emoji30]