Nifanye nini sasa

daxloopy

New Member
Dec 4, 2013
1
0
Naombeni wataalam na wakubwa mnishauri nni cha kufanya mimi ni kijana mtanzania nimemaliza elimu ya chuo kikuu katika fani ya Teknolojia ya Mawasiliano na Habari (Bachelor of Science in Information Technology), swala la ajira naona ni gumu sana kwani sioni hata dalili ya kuitwa pahala japo sijakata tamaa ila nina Project yangu nzuri sana ambayo ina htaji pesa ili niweze kuifanya je kuna uwezekano wa serikali kunisaidia na ni hatua gani naweza chukua ili nipate msaada huo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom