Nifanye nini niwe na furaha?

Furaha ni rahisi sana kuipata kama huna majukumu ,I mean huna familia,ka unafamilia kukosa furaha ni sehemu ya maisha yako,
 
Mimi sina furaha Nina kamradi nilikaanzisha dar ghafla serikali imehamia dodoma sijui itakuaje[emoji15][emoji15]
 
Hahahhahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…