Nifanye nini nisiwe busy na internet?

Nifanye nini nisiwe busy na internet?

The difference between technology and
slavery is that slaves are fully aware
that they are not free!
 
Internet inanifanya busy mpaka nachelewa kulala, saa hizi saa 6 sijalala labda nitalala saa 8 asubuhi. Usiku wote nawatch series, porn, music, i watch everything hakuna kitu nimebakisha, saivi holiday siku za shule naamka kwa ugumu sina time kuongea na mtu.
Umeshamwambia Mama yako alichokufanyia baba yako au umeshakubali kuwa mke mwenza wa mama yako.
 
Nifanye nini nisiwe busy na internet?

Internet inanifanya busy mpaka nachelewa kulala, saa hizi saa 6 sijalala labda nitalala saa 8 asubuhi. Usiku wote nawatch series, porn, music, i watch everything hakuna kitu nimebakisha, saivi holiday siku za shule naamka kwa ugumu sina time kuongea na mtu.

Zamani nilipenda kuchat saivi sina time na kuchat, sina time na simu, mama ananiambia we endelea na tabia yako sisi tukilala we amka sisi tukiamka we lal,a nifanye nini niwe kama zamani.

Msaada please nisiwe nakesha kwenye internet.

hongera inaonekana huna kazi za kufanya zinazokuumiza ubongo sawasawa..yaan hata muda wa kucghati usingekkuwa nao...yaan ungeuheshimu muda wa kulala kwakweli ..usijali utapewa tuzo na watsaap kuwa mtu anaechat bora
 
Na ndo maana kutwa kutunga vihadithi vyako Uchwara kumbe huna la kufanya unakuja humu kutunga na kumsingizia babako sio, msadie mamako kazi za nyumbani wewe
 
Tafuta demu wa kulala nae hautacheza na internet utacheza na mtoto kitandani afu utakuwa kama kuku unalala saa kumi na mbili unaamka saa kumi na moja
 
Mkuu! Hili ni janga la dunia... Especially kwa walio idle.
Ukipata shughuli ya kuku-keep busy utasahau ishu ya kua busy na internet. As long as you are idle, internet business itakuhusu
 
Back
Top Bottom