Nifanye nini nisiote ndevu?

Kapambane na embe lako bana weeeeee.

Ndevu zina raha yake. Nyeusi, zilizojaaa zina masculinity flani hivi unajua yes nipo na kidume.

Hata ukilianzisha mtaani ile anatokeza tu watu wanajua dume hili.

Sio jogoo linakuwa kama tetea. Aku!
Hahahha sikuwezi asee. 😁😁😁😁
 
Habari wakuu

Mimi binafsi swala LA ndevu naliona kama kero ,nilikuwa nauliza ni namna gani mtu anaweza kufanya ili aisewe na ndevu .

Kuna muda ndevu zinanipotezea muda ,zinaharibu mwonekano kabisa ,nataman kidevu kiwe cheupe ,ndevu ni kero tupu ...


Mwenye namna yeyote wakuu msaaada

Mwanaume ni ndevu wewe, sasa ukizitoa huoni aibu mwanaume mzima huna ndevu! Ngozi nyeusi ni wachache wenye ndevu, ivyo shukuru sana kuwa na ndevu.
 
Mwanaume bila ndevu ni sawa na afande bila SMG.

Kujamini kutapungua.

Wanaume tusio na ndevu tunadharauliwa sana.
 
Shida inakuja.. Unatakiwa ujue NDEVU zimekaa hapo zinakazi gani? Ukiachilia maswala ya kibbaiolojia.. ktk Muktadha wa kijinsia na muktadha wa maswala yetu ya kiutu uzima... Ndevu zina matumizi yake... Be careful
 
Tumia magic mara kwa mara,ifanye magic part ya maisha yako

kila baada ya masaa 48 apply kisha jisafishe,zenyewe utaziona zinakuogopa

changamoto ni kwamba uwe na pesa ya kuhudumia ngozi itakayokomaa kwa magic

magic ikikukomaza Lotion pekee itayokubali hiyo ngozi ya kidevu+mashavu ni ya kuanzia 500,000

kwahiyo jiandae kuhudumia turubai la ngozi,maana haitakua ngozi bali turubai,kama n mtoto tutasema hili toto ni toto sugu

naiongelea ngozi itayobaki bila nywele kwasababu umeztoa ndevu zoteee na Magic,unachokitafuta utakipata buraza,jipge selfie mara ya mwisho mwisho kabla hujaanza fata ushauri wangu.
ati turubai la ngozi
 
Back
Top Bottom