Asi sahau kuvuta bangi kwa ajili ya kuongeza hamu ya kula.Kwanza tafuta dawa za minyoo kula mpaka uhakikishe imeisha yote. Tafuta vitamin b complex tumia dozi. Tafuta vitamin c tumia dozi.
Alafu ingia sokoni tafuta mbegu z maboga kilo karanga kilo 2 maziwa na asali.
Mbegu za maboga na karanga zikaange zikaangike alafu zisage pamoja upate unga huo unga chemsha maziwa kikombe kimoja weka na vijiko 3 vya karanga na maboga kwa pamoja na asali kafiri utakavyo hii itakusaidia lakini muda mwingine wote wa kula kandamiza misosi ya kwenda na matunda ule muda wa kati ndio unapiga kikombe chako cha mchanganyiko huo utaona mabadiliko ndani ya muda si mrefu
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
HamnaTako lipo lakini?
Si anakua na kakitambi ka kufutia simatifoni.Unenepe
Upate kitambi
Urudi tena kuomba namna ya kuondoa kitambi
Smartphone tunafutia na paja/ hips la kulia 😂😂Si anakua na kakitambi ka kufutia simatifoni.
Anakosaje tako,Tako lipo lakini?
😂 nadanganya kilo au kutotamani kunenepa?
Hivi dieticians na nutritionists si wanashughulika na haya masuala?Kula sana usiku
achana na hiyo habari ndugu usije jutia mbeleni. Uzito ulionao ni mzuri sanaJamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
😂 kweli sikutanii, tena nime gain kg nyingi sana sasa hivi. Nilipima juzi Mnazi mmoja mpaka nikashangaa😂Uzito 😂😂
makaveli10 tako lazima liwe na nyama nyingiAnakosaje tako,
Sasa atakuwa anakalia kichwa au.
Hivi dieticians na nutritionists si wanashughulika na haya masuala?
Wapo bongo?
Inabidi uwahi mloganzilaKwetu ni flat screen
Sina shida hiyoInabidi uwahi mloganzila
kulose aiseeSijawahi kusikia kama wapo
Unataka kugain ama kulose weight? 😀