Nifanye nini mke wangu arudi?

Huyo ni mkeo au hawara, je umemlipia mahali kwao? Je umefunga nae ndoa kisheria na kutambulika ? Kama ndio , ulipoondoka ulimuacha wapi kwenu kwao au ulimuachia matumizi ,familia wanasemaje juu ya hilo?
 
kwani umezaliwa nae...? kwani yupo peke yake dunia nzima...? ana mnato wa aina gaani ambao huwezi kuupata popote...? acha utoto
 
Kwanza huyo siyo mke,huyo ni demu tu kama waitavyo wahuni ...hata hujielewi kama huyo siyo mke. kwa story fupi hiyo inaonyesha huyo si mke mzee
 
Huu ushauri mzuri wengi wakiona mwanamke anajibu kwa kujiamini tyr wanahis ana mtu.

NB: umeoa unaendaje kwenye wedding bila mkeo?, pesa haitoshi ni vema kubaki kuliko kumtenga mkeo kwenye shughuli za kifamilia utazani ye ni mchepko.
 
Tatizo ni kwamba hukwenda nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…