Nifanye nini mke wangu arudi?

Habari na ukweli haaujitoshelezi
Inaonekana ulikwenda kwa mwanamke mwingine huko na ndio maana ya majibu yake kwako

Sema ukweli upewe majibu ya uhakika ila mimi hii chai ️ sinywi bila kitafunio
 
Mkeo ana experience na relationship wewe huna .Experience muhimu.Wako akiwa kwako akitoka nje si wako .Watu Wanakula beef walahi hana hofu.Huyo mkeo ni M star Mzoefu .Watu wanakula beef walahi hana hofu .

Ume patia unacho kisema ni kweli hana hofu wala ajali na ndoa yake
 
Dawa ya 🔥 ni 🔥 na sio maji.
Mwoe jirani au mdogo wake au hata rafiki yake.
Lazima atajinyonga.
Huwa sitakagi ujinga mie
Chezea USA wewe!
Au usa river ya Arusha unaizungumzia?
 
Dawa ya ni na sio maji.
Mwoe jirani au mdogo wake au hata rafiki yake.
Lazima atajinyonga.
Huwa sitakagi ujinga mie
Chezea USA wewe!
Au usa river ya Arusha unaizungumzia?

USA ya marekani kuna bro apo juu ame sema kweli Mwanamke wangu Ana experience na relationship na ni kweli Mimi nilivyo kutana na yeye mimi sio mwanaume wake wa kwanza ku muambia kuwa nita muoa kabla yangu kuna kijana Ali kuwa naye kwenye relationship mda wa miaka 3 uyo kijana mwishowe Ali kuja kumuoa Mwanamke mwingine but sijuwi kwanini

Pili yeye Ana tongozwaga saana na akatahi mwanaume yeye ukiwa upo smart kwake na fasi ume pata
But mimi Ali ni penda tu ivyo ivyo and I didn’t know why she loved me
Na uko
Na uko ndiko kulianzia vurugo sema kumshauria achana na wanaume tofauti
Akawa na ona na mtukana
Kila niki sema ni mchukulie atua ata ona na mnyanyasa na yote aya alizoea nyuma kwenye mausiano yake ya nyuma kumbembelezwa na kujiona mrembo zaidi
Sasa kwangu Alikuja kuona tofauti
Yaani mambo ambayo wanaume wenzangu kwake wali support kwangu nikapiga out
Akawa na ishi na mimi kwa mateso makubwa
 
Tell her with sms.
From now onwards ukitaka kuchepuka, kuolewa au kujiuza ruksa.
I will not text or call you again.
Mwambie kabisa kuwa ushampata size yako.
Baada ya hapo fanya kama ulivyomtext.
Usipokee Wala kujibu sms
 
haikuwa inawezekana kabisa kusafiri na mkeo? kaka yako aliona nini hata wewe tu upewe mwaliko wakati anajua unae mwandani wako?
au uliibukia pira lako lilikuja bogo wewe🤣🤣
 
Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.

Sasa tatizo lilikuja vipi

Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam.

Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.

Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu. Yaani maneno ya kujiamini saaana.

Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.

Sasa jamani nisaidieni nifanye nini ili mke wangu arudi maana nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ameniganda kweli kweli
Acha kusema unampenda sana! Hiyo ni kauli ya kinyonge sana ukiitamka mwanaume, mtu anakuletea jeuri kiasi hicho bado unakuja kulialia hapa eti " bado nampenda sana"

Piga chini kama hajielewi, wapo wengi wenye nia na ndoa.
 
Sasa apo kwenye kumuacha ndo na jikuta siwezi kabisa

Yaani na jaribu kujifosi kumsau mpaka nime tongoza rafiki yake ime shindikana yaani

Yaani sijuwi ni tumie jia gani
Unatia hasira sana tatizo mnajitwika mizito ingali bado hamjakomaa, we bado mvulana ukiwa mwanaume utaacha tu kulilia mbunye inayokukataa.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom