Nifanye nini mke wangu arudi?

Ukiingia JF utaona juu kuna ki alama cha bahasha,kifungue,utaona ujumbe wa Start new conversations una press hapo kisha utaona neno Recipients, hapo una tag jina halafu unaandika ujumbe.

IMG_0401.png

Ume ona jinsi gani wanavyo ni andike
 
Mimi ni kijana mwenzio
Nime oa ila kwasasa ndoa yangu aipo tena yaani Sipo tena na mke wangu

Sasa Tatizo lilikuja vipi

Mimi nili safiri kwenda zangu usa ndugu zangu wali nifanyia visit invitation
Nika muacha mke wangu dar es salam

Sasa nilivyo kuwa kule nikawa na ongeya naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa Ana ni jibu mambo ya ovyo ovyo nikitaka kumfokea mara Ana niambia ame ni choka sujuwi nini
Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia atua ya kuniambia nime kukataa ili ni kuonyeshe kama marekani sio kitu mbele yangu
Yaani maneno ya kujiamini saaana
Mpaka aka fikia atua ya kuniacha ila mke wangu bado na mpenda saana Nina jaribu kumuambia nini tatizo Ana ni ambia ataki tu na siku izi she doesn’t call me tena mme wangu ni Jina langu tu
Sasa jamani ni saidieni ni fanye nini ili mke wangu arudi nime jaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ame ni ganda kweli kweli
Jeshini mnaripoti lini?
 
Kwa uandishi huo usioeleweka na kushindwa kujieleza, ana haki ya kukukataa!
 
Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.

Sasa tatizo lilikuja vipi

Mimi nili safiri kwenda zangu usa ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam

Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.

Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu
Yaani maneno ya kujiamini saaana.

Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.

Sasa jamani ni saidieni ni fanye nini ili mke wangu arudi nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ame niganda kweli kweli
Nenda kwa mganga ukampige mikosi asiolewe na yeyote.
 
We na huyo mkeo aliyekuacha mlibarikiwa kupata watoto wanggapi? Na ndoa yenu ilikuwa na miaka mingapi?
 
Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.

Sasa tatizo lilikuja vipi

Mimi nili safiri kwenda zangu usa ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam

Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.

Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu
Yaani maneno ya kujiamini saaana.

Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.

Sasa jamani ni saidieni ni fanye nini ili mke wangu arudi nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ame niganda kweli kweli
Thamani ya mke ni kubwa kuliko huko uliko mzee. Sisi tulio oa tunijua hilo.

Unachotakiwa urudi uyajenge na mkeo. Ila huwa mnawezaje kukaa mbali na wake zenu muda mrefu ?
 
Sasa apo kwenye kumuacha ndo na jikuta siwezi kabisa

Yaani na jaribu kujifosi kumsau mpaka nime tongoza rafiki yake ime shindikana yaani

Yaani sijuwi ni tumie jia gani
Kama ni mkeo,si mshenga yupo!?Mwambie kisa kizima,Atakupa ushauri.
 
Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.

Sasa tatizo lilikuja vipi

Mimi nili safiri kwenda zangu usa ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam

Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.

Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu
Yaani maneno ya kujiamini saaana.

Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.

Sasa jamani ni saidieni ni fanye nini ili mke wangu arudi nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ame niganda kweli kweli
Move on it’s over .Kwanza umejaribu wanawake wengine your disgusting and I’m glad she drop you like a hot potato .
 
Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.

Sasa tatizo lilikuja vipi

Mimi nili safiri kwenda zangu usa ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam

Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.

Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu
Yaani maneno ya kujiamini saaana.

Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.

Sasa jamani ni saidieni ni fanye nini ili mke wangu arudi nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ame niganda kweli kweli
Mkeo ana experience na relationship wewe huna .Experience muhimu.Wako akiwa kwako akitoka nje si wako .Watu Wanakula beef walahi hana hofu.Huyo mkeo ni M star Mzoefu .Watu wanakula beef walahi hana hofu .
 
Back
Top Bottom