mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 16,015
- 35,777
Miaka 25 elimu kidato cha nneUna umri gani mkuu na umeishia kidato cha ngapi?
Miaka 25 elimu kidato cha nneUna umri gani mkuu na umeishia kidato cha ngapi?
Lakini hapo sikusema kwa ubaya, by the way hata Mimi nilikuwa nataka kujua elimu yake ni kidato cha ngapi! Mambo yake Kama mwanafunzi wa form two B
Kwanza huyo siyo mke,huyo ni demu tu kama waitavyo wahuni ...hata hujielewi kama huyo siyo mke. kwa story fupi hiyo inaonyesha huyo si mke mzeeMimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.
Sasa tatizo lilikuja vipi
Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam.
Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu Ila kulifikia kipindi akawa ananijibu mambo ya ovyo ovyo. Nikitaka kumfokea mara ananiambia amenichoka sujui nini.
Kiburi kilipanda mtoto wa kike akafikia hatua ya kuniambia nimekukataa ili nikuonyeshe kama Marekani sio kitu mbele yangu. Yaani maneno ya kujiamini sana.
Mpaka akafikia hatua ya kuniacha ila mke wangu bado nampenda saana. Ninajaribu kumwambia nini tatizo ananiambia hataki tu na siku hizi, she doesn’t call me tena mume wangu ni Jina langu tu.
Sasa jamani nisaidieni nifanye nini ili mke wangu arudi maana nimejaribu kula wanawake wengine lakini naona mmmm ni bure kweli yaani ameniganda kweli kweli.
Sorry mkuuLakini hapo sikusema kwa ubaya, by the way hata Mimi nilikuwa nataka kujua elimu yake ni kidato cha ngapi! Mambo yake Kama mwanafunzi wa form two B
Huu ushauri mzuri wengi wakiona mwanamke anajibu kwa kujiamini tyr wanahis ana mtu.Inaonekana ulipopata mualiko wa kwenda US hukumshirikisha ipasavyo mkeo, maamuzi yalikua ni yako tu pengine ni kwa ajili ya kitete cha safari, tatizo lako si kwamba lilianza baada ya wewe kufika US bali tatizo lilianza hata kabla hujaianza safari yako.
Kuna jambo unajaribu kulificha hapa, kua muwazi usaidiwe, kitendo cha mkeo kukwambia kua 'Nimekukataa ili nikuonyeshe kua Marekani sio kitu mbele yangu" kina ashiria kua uliithamini safari yako zaidi kuliko mkeo,sasa umesharudi na akili imekurudi.
Tatizo ni kwamba hukwenda naeMimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu.