Nifanye nini kwa mwalimu huyu ninayemdai laki 4?


UMASIKINI BWANA

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Messages
930
Likes
509
Points
180
UMASIKINI BWANA

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2013
930 509 180
Habari zenu wana jf!

Jamani nipeni mawazo nifanye nini kwa huyu Mwalimu wa shule ya msingi, mkoa na wilaya nahifadhi. Namdai laki 4 tangu mwez wa 3 nilimkopesha aende hospital huko Moshi, karudi kapona ananipiga tarehe.

Namheshimu naogopa kumuaibisha lakini nimesikia Waziri Mkuu atakuwa na ziara mkoa wa huyu mwalimu. Nimeamua nitamwambia majaliwa deni langu kwani hali ngumu sana na hanilipi au mwasemaje?

Afisa elimu wake kaniambia nimalizane nae yeye hana uwezo wa kumlipia.
 
C

Chief wa kibena

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
690
Likes
388
Points
80
C

Chief wa kibena

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2016
690 388 80
nenda kamuone AFISA Elimu wake, akisikia hivyoo lazma akulipeeeeee
 
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
22,254
Likes
48,295
Points
280
kisu cha ngariba

kisu cha ngariba

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
22,254 48,295 280
Amna vituo vya polisi uko? Mpaka umsubirie Majaliwa?
 
N

Nyamanoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
639
Likes
333
Points
80
N

Nyamanoro

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
639 333 80
Fungua kesi ya Madai Mahakama ya Mwanzo, usumbufu na haibu atakayopata mwenye atakulipa pamoja na gharama za kesi, najua kwako pia ni usumbufu lakini ni muhimu utaratibu kama huu uwepo wakati fulani. kumbuka hilo ni jambo binafsi hivyo usishitaki kwa watu ambao si wenye uwezo kisheria akiwemo Waziri Mkuu au Mkuu wa Mkoa.
 
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
3,469
Likes
5,142
Points
280
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
3,469 5,142 280
wakati mnakopeshana mlienda kwa majaliwa?
 
Allan Clement

Allan Clement

Verified Member
Joined
Aug 14, 2013
Messages
1,730
Likes
1,280
Points
280
Allan Clement

Allan Clement

Verified Member
Joined Aug 14, 2013
1,730 1,280 280
dah we jamaa kwani haupo Tanzania? hujui hali ilivyo mbaya kwa wafanyakazi? hebu vuta subra kwanza ulimkopesha hela ya matibabu kwanini usisamahe tu!!

Mzee Magufuli hebu sikia hii, ile inkriment inahusika Hapa watu walipe madeni.
 
daraja la kigamboni

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Messages
240
Likes
107
Points
60
daraja la kigamboni

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2016
240 107 60
Tutajuaje kama unamdai laki 4
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,139
Likes
17,713
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,139 17,713 280
Unamdai Mwalimu?? @umaskini bwana
 
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,985
Likes
4,046
Points
280
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,985 4,046 280
Hali ngumu pande zote mkuu pengine ana madeni sehemu zingine ongea nae mpanga namna ya kukulipa kidogokidogo
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
7,903
Likes
8,884
Points
280
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
7,903 8,884 280
Kama mliandikishiana sehemu akatia na sahihi fanya kufuata sheria atakulipa lakini kama mlipeana vichochoroni hapo sahau kabisa!
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,760
Likes
25,216
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,760 25,216 280
Nenda naye polisi basi.
 
S

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Messages
1,016
Likes
892
Points
280
Age
84
S

Step by step

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2014
1,016 892 280
Kama mliandikishiana sehemu akatia na sahihi fanya kufuata sheria atakulipa lakini kama mlipeana vichochoroni hapo sahau kabisa!
umemueleza jambo la msingi sana kama hamkuandikishiana mdai polepole tu manake anaweza kukuwahi mahakamani kuwa unamdhalilisha kisa amekataa kukupa penzi (sorry sijajua jinsia zenu lakini) na wale wa haki za binadamu wanaingilia unapotezwa usicheze na mwalim wewe
 
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
10,292
Likes
5,285
Points
280
Rohombaya

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
10,292 5,285 280
Dah... hakuna namna nyingine ya kulipana? Rejea jinsia zetu
 

Forum statistics

Threads 1,274,326
Members 490,664
Posts 30,508,486