dogo ushauri wangu nenda shule ya alpha gems ipo moro ada ni laki hv shule ni nzuri sana. komaa na wazazi wakupeleke hawashindw hiyo laki 9.
achana na hiyo special diploma nenda kwanza shule ukasome.
kaka, kama hamna namna kabisa nenda tu kasome halafu utarudi
nakupa mfano wa broo wangu alipenda sana kusoma kilimo hakua na uwezo hapo mwanzoni akachaguliwa ualimu akasoma 3yrs akamaliza akaajiriwa kajikusanya zaidi ya 5yrs kapata pesa akaacha akaenda mwanza pale kuna chuo cha mifugo kasoma diploma 3yrs kamaliza kaajiriwa arusha kapiga 1yr saiv anachukua dgree anaingia 2yr
note; age is just a number, kikubwa uzima ndo wakuomba kwa MUNGU
hiyo shule inachukua comb zipi na ni bweni au day?
Kuna kozi imeanzishwa kwenye idara ya Afya inaitwa COMMUNITY HEALTH, inasomwa kwa mwaka mmoja, vigezo vyake ni form four awe na pass za Biology D, na masomo mengine yoyote matatu kasoro ya DINI awe na Pass za D. Application zinatumwa kwenye mtandao wa NACTE. www.nacte.go.tz. Mhitimu ataajiriwa na serikali. Waambieni na wengine tafadhali hiyo ni fursa. The earlier the better.
Deadline ni trh 18/9/2015
DrWho.. nimepiga simu CUF muda mrefu hakuna anayepokea...na sina jinsi nyingine ya kuwasiliana nao.. nilimtafuta Wilbroad Slaa wa Chadema nikazungumza naye, na Mohammed Khatib nikazungumza naye.. hawa wa CUF inakuwa vigumu kweli.... any help nitashukuru..!
Siku zote napenda kuwa lab.technician na ndio malengo yangu maana naipenda toka moyoni sasa tatizo linakuja katika kutimiza malengo yangu
Nimemaliza kidato cha nne (credit 1.9) sikuchaguliwa kidato cha tano nikachaguliwa special diploma udom(chem&math) sikuwaza kuja kuwa mwalimu na bado siamini kama nitakuwa mwalimu niliwashawishi wazazi niende advance private wakasema hawana uwezo nikawashawishi chuo cha afya pia hawana uwezo wanaona ni bora niende special diploma sasa hapa ndo ninapoona ugumu katika kufanikisha malengo yangu
Naombeni msaada wenu wa mawazo inawezekana kubadilisha kozi nikifika chuoni?
Nifanye nini ili niweze kutimiza malengo yangu?
napenda sana lab.technician
Kuna kozi imeanzishwa kwenye idara ya Afya inaitwa COMMUNITY HEALTH, inasomwa kwa mwaka mmoja, vigezo vyake ni form four awe na pass za Biology D, na masomo mengine yoyote matatu kasoro ya DINI awe na Pass za D. Application zinatumwa kwenye mtandao wa NACTE. National Council for Technical Education (NACTE). Mhitimu ataajiriwa na serikali. Waambieni na wengine tafadhali hiyo ni fursa. The earlier the better.
Deadline ni trh 18/9/2015
pole mjamaa wangu kumbuka mungu yupoo na alikuumba kwa makusud yake. kumbuka changamoto ni nyingi co ww tu unazpitia bali na iman wapo weng, mwenyewe niko kwenye wakat mgumu san wa kimasomo ila na iman ungu ni mkubwa tuu kama ipo ipo tuu amini hivo. shukuru ulichonacho amin kuna wenzio wanakitafuta hawakipat wanarudia pepa mara kibao lakin hawafanikiwi. so big kwa ulichokipata kitumie vizur. kama kungekua na sehem ya kujitafutia pesa ningekushauri ufanye ivo ujikusanyie mkwanja wako kama miaka miwil au mi3. ila mungu ana makusud yake c umeona mlango mmoja umekataa kufunguka mwingine ukafunguka (special diploma ya udom)
jikaze ndugu yang kama mm kaka yako hapa kapge tuu hiyo dip ya education ukitoka hapo kwa masomo ya chem na math uhakika wa ajira upo. then jichange halaf ndo uje kupga zako dip ya lab tech yako. i wish u the best my friend kikubwa tumuombe mungu other doors will open trust me.