King snr
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 1,165
- 1,474
Siku zote napenda kuwa lab.technician na ndio malengo yangu maana naipenda toka moyoni sasa tatizo linakuja katika kutimiza malengo yangu
Nimemaliza kidato cha nne (credit 1.9) sikuchaguliwa kidato cha tano nikachaguliwa special diploma udom(chem&math) sikuwaza kuja kuwa mwalimu na bado siamini kama nitakuwa mwalimu niliwashawishi wazazi niende advance private wakasema hawana uwezo nikawashawishi chuo cha afya pia hawana uwezo wanaona ni bora niende special diploma sasa hapa ndo ninapoona ugumu katika kufanikisha malengo yangu
Naombeni msaada wenu wa mawazo inawezekana kubadilisha kozi nikifika chuoni?
Nifanye nini ili niweze kutimiza malengo yangu?
napenda sana lab.technician