Kuna muda nilidhani ni mimi peke yangu, hadi nimelazimika kuufuta kwenye simu yangu. Nilikuwa nikiona jumbe ziki pop up, nikitaka kusoma siwezi, nikaona mateso ya nini, niwe mpole, delete application ya X maisha yaende, nitafanyaje sasa nimenyimwa uhuru wa habari na wababe