Nifanye nini kukamilisha ndoto yangu ya kwenda kuishi Marekani?

nagod

Member
Nov 28, 2023
10
12
Niaje wadau,

Kila nikilala naiota USA japo sijui ntawezaje kuishi kule hata nipambane na life la kule.

Elimu yangu ni ya kawaida sana, sijafika University japo lugha sio shida sana. Kama kuna mtu kaishi kule au ana idea kama yangu anipe ushauri kama inawezekana kuishi kule au vipi ili njue akili naiweka vipi.
 
USA ni mbali sana anzia karibu hapa Africa nenda ghana katafute maisha kisha jipange ingia misri kaa kwa muda vuka nenda Hispania na kisha Italy baada ya hapo utaweza kuingia USA kufikia 2030.

USA ni pagumu mno asikudanganye mtu, pia kwa sasa fikiria kwenda Israel kuna kazi kwa wingi unaweza kwanza kuingia nchi za Arabs kama Iran kisha palestina na ukavuka mpaka kuingia Israel.

Kwanza sijui umejipangaje kuhusu bajeti sababu unahitajika kuwa na pesa kiasi angalau milioni 13 za kuanza hilo zoezi ni kama uwekezaji sio jambo jepesi.

USA siyo sehemu ya kuanzia kwenda kwa wazamiaji wanajua unatakiwa kuanza kuzamia nchi kama Russia, China, baadae Dernmark, Norway kisha unafikiria kuingia USA.
 
pesa yao ikoje Israel...ni ya juu kama uarabuni...?
 
Pagumu interm of what?
 
Niaje wadau,

Kila nikilala naiota USA japo sijui ntawezaje kuishi kule hata nipambane na life la kule.

Elimu yangu ni ya kawaida sana, sijafika University japo lugha sio shida sana. Kama kuna mtu kaishi kule au ana idea kama yangu anipe ushauri kama inawezekana kuishi kule au vipi ili njue akili naiweka vipi.
Na kwanini unaota US wakati Kuna Gambia na Chad
 
Kwenye serious issues kama hizi hutasikia habari za kuenda kwa manabii wala waganga ili wakusaidie ufike huko ila kwenye cheap issues ndio wanajifanya wako vizuri, binafsi siku nikisikia kuna watu wanaenda North America au Europe kwa kupewa visa kimiujiza kule balozini, bila kufanyiwa interview wala kudaiwa documents zote zinazohitajika hapo ndio nitaamini kweli huo ujinga unafanya kazi
 
Safi.
 
Back
Top Bottom