Nifanye nini kudhibiti Pesa?

Shomary47

JF-Expert Member
Feb 12, 2021
224
348
Habari wana JF,

Naomba Ushauri, Mimi ni Muhanga wa Kutokukaa na Pesa, ama nikipata pesa zinaisha bila kufanya kitu cha maana au kitu cha kuonekana.

Nimejitahidi saana Kuweka bajeti ya Mwezi nakuifata lakini nashindwa, najitahidi kuweka kumbukumbu ya matumizi yote ya siku ila nafanya kwa siku 2 siku ya 3 nasahau.

Kwa Mwezi kwenye mihangaiko yangu naweza pata faida mpaka ya 1,300,000 kwa mujibu wa daftari langu ka mauzo, Lakini mwisho wa mwezi ukiniuliza hiyo pesa iko wapi naweza nisiwe nayo, ama inakuwa imebaki kodogo saaana.

Naomba Ushauri, Nifanye nini ili pesa ninazopata kwenye mihangaiko yangu mwisho wa mwezi niione Yote mezani. Natanguliza Shukran.

PXL_20220515_164932217.jpg
 
Habari wana JF,

Naomba Ushauri, Mimi ni Muhanga wa Kutokukaa na Pesa,ama nikipata pesa zinaisha bila kufanya kitu cha maana au kitu cha kuonekana.

Nimejitahidi saana Kuweka bajeti ya Mwezi nakuifata lakini nashindwa, najitahidi kuweka kumbukumbu ya matumizi yote ya siku ila nafanya kwa siku 2 siku ya 3 nasahau.

Kwa Mwezi kwenye mihangaiko yangu naweza pata faida mpaka ya 1,300,000 kwa mujibu wa daftari langu ka mauzo, Lakini mwisho wa mwezi ukiniuliza hiyo pesa iko wapi naweza nisiwe nayo, ama inakua imebaki kodogo saaana.

Naomba Ushauri, Nifanye nini ili pesa ninazopata kwenye mihangaiko yangu mwisho wa mwezi niione Yote mezani. Natanguliza Shukran.

View attachment 2263060
Nidhamu ya pesa
Mahusiano
Uchaji wako kwa Mungu
Zaka na sadaka.. Tafakari hayo
 
Labd huna malengo na huna msukumo wa kuteleleza jambo fulani. Anza kwa kuweka malengo makubwa ila yanayotekelezeka km unapata kiasi hicho unaweza kufanya mengi ni suala la malengo na uamuzi.
 
Mkuu Kwanza inategemeana riziki au biashara unayofanya unapata pesa kwa mazingira gani na Kama unapata kwa jasho hapo unaweza ukafungua acont benk ukawa unaweka huko na Kuna acont unaweza ukaweka pesa ikakulimit mda wa kuchukuwa pesa na jambo la muhimu hayo matumiz yako yatasimin yana tija kwa sababu lazima uwe na nizamu ya pesa
 
Dave Ramsey anatoa ushauri wa kifedha kuwa 1---10 giving (kutoa kwenye mambo ya kijamii)
2---saving--10%
3--food---10--15%
4 utilities 5__10%(simu, internet, electricity)
5 housing cost 25%(kodi)
6 transportation 10%
7 health 5-10%
8 insurance 10___25%
9 recreation 5__10%(mfano vacation mbugani)
10 personal spending 5__10%(nguo, kunyoa)
11 miscellaneous 5----10(ulilosahau)

Fanya na fuata ushauri hapo juu, tatizo hatufundishwi elimu ya pesa Tanzania
 
Kibongo bongo..hapa inabidi Mungu aingilie kati.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dave Ramsey anatoa ushauri wa kifedha kuwa 1---10 giving (kutoa kwenye mambo ya kijamii)
2---saving--10%
3--food---10--15%
4 utilities 5__10%(simu, internet, electricity)
5 housing cost 25%(kodi)
6 transportation 10%
7 health 5-10%
8 insurance 10___25%
9 recreation 5__10%(mfano vacation mbugani)
10 personal spending 5__10%(nguo, kunyoa)
11 miscellaneous 5----10(ulilosahau)

Fanya na fuata ushauri hapo juu, tatizo hatufundishwi elimu ya pesa Tanzania
Asante sana
 
Mkuu Kwanza inategemeana riziki au biashara unayofanya unapata pesa kwa mazingira gani na Kama unapata kwa jasho hapo unaweza ukafungua acont benk ukawa unaweka huko na Kuna acont unaweza ukaweka pesa ikakulimit mda wa kuchukuwa pesa na jambo la muhimu hayo matumiz yako yatasimin yana tija kwa sababu lazima uwe na nizamu ya pesa
Kuna mtu amenambia ni chuma ulete
 
Maisha ni mafupi weka akiba ya matendo mema hayo utakutana nayo kwa Mungu, pesa utaziacha hapa duniani
 
Habari wana JF,

Naomba Ushauri, Mimi ni Muhanga wa Kutokukaa na Pesa,ama nikipata pesa zinaisha bila kufanya kitu cha maana au kitu cha kuonekana.

Nimejitahidi saana Kuweka bajeti ya Mwezi nakuifata lakini nashindwa, najitahidi kuweka kumbukumbu ya matumizi yote ya siku ila nafanya kwa siku 2 siku ya 3 nasahau.

Kwa Mwezi kwenye mihangaiko yangu naweza pata faida mpaka ya 1,300,000 kwa mujibu wa daftari langu ka mauzo, Lakini mwisho wa mwezi ukiniuliza hiyo pesa iko wapi naweza nisiwe nayo, ama inakua imebaki kodogo saaana.

Naomba Ushauri, Nifanye nini ili pesa ninazopata kwenye mihangaiko yangu mwisho wa mwezi niione Yote mezani. Natanguliza Shukran.

View attachment 2263060
Hata Mimi.Tofauti yetu nikwamba Mimi mihangaiko yng kwa mwezi mzima haifikishi 1.3m
 
Back
Top Bottom