Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,797
- 90,170
Yeah umesema kweli Kaka yangu yupo hivyo… ameoa mwanamke mzuri sanaaaa na yeye sura yake ya kutishia watoto mkewe ni mtu ambae hababaishwi huwa tunapiga story ananihadithia mpk kuhusu madanga yake
Anyway nipe ushaurii mkuu
Mtu akikufanyia ubaya wewe haimaanishi hakuna anaowafanyia Wema.
Mtu anaweza kuwa jambazi na muuaji Kwa A Wakati huohuo akawa na Upendo na mlienda Uhai Kwa MTU B.
Huo ndio ushauri wangu