Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

Mara nyingi Kaka wanaowapangia Wadogo zao wakike wanaume wa kuwaoa ndoa zao hazijatulia, na wake zao huwapelekesha vibaya Mno.
 
Sasa kama ananioa si ndio urafik unadumu maana hanichezei
Wanaume tukipishana kidogo utaskia

"utaniambia nini, namkaza dadaka"
"dadako ana joto"

hata ule utani wa mpira, anaweza kujibu "ntafunga bao kwa dada yako"

Hii kitu huwaga hatuwezi vumilia wanaume, huwa inauma sanaaaa !! na huwa tunajuana tabia kwamba flani ana michepuko basi hatupendi kuona mtu huyo tena awe rafiki achezee dada yetu.

Huwa tunaona ni heri dada zetu wawe na watu wasio marafiki zetu inakua poa zaidi
 
Nikiyapitia maneno yako unayosema kuwa ni ya kaka yako kumhusu huyo mchumba wako......nikiyaweka kwenye mizani nayaona ni mepesi na hayana uzito wa kuangusha penzi la wawili waliopendana.........

Nadhani kaka yako anapitia tu mshituko tu wa kijana mwenzie anatembea na dada yake kwa hivyo amezongwa na fikra za kivulana na wivu wa kitoto........

Ni jambo la kawaida na litaisha kwake kadri muda unavyoenda......

Inawezekana aliyosema yakawa na ukweli ndani yake lakini kadri unavyokwenda watu hubadilika na kuwa watu wema na kuanza maisha mapya.......hivyo ni vibaya kumhukumu kwa mienendo ya nyuma.......

Kama wewe mwenyewe huoni baya kwake na yupo kwenye mipango na malengo mliyojiwekea basi dumu kwenye hilo.......na si vyema kumuambia jambo hilo kwani atakuona bado una akili za kitoto......
 
Mara nyingi Kaka wanaowapangia Wadogo zao wakike wanaume wa kuwaoa ndoa zao hazijatulia, na wake zao huwapelekesha vibaya Mno.

Yeah umesema kweli Kaka yangu yupo hivyo… ameoa mwanamke mzuri sanaaaa na yeye sura yake ya kutishia watoto mkewe ni mtu ambae hababaishwi huwa tunapiga story ananihadithia mpk kuhusu madanga yake

Anyway nipe ushaurii mkuu
 
Wanaume tukipishana kidogo utaskia

"utaniambia nini, namkaza dadaka"
"dadako ana joto"

hata ule utani wa mpira, anaweza kujibu "ntafunga bao kwa dada yako"

Hii kitu huwaga hatuwezi vumilia wanaume, huwa inauma sanaaaa !! na huwa tunajuana tabia kwamba flani ana michepuko basi hatupendi kuona mtu huyo tena awe rafiki achezee dada yetu.

Huwa tunaona ni heri dada zetu wawe na watu wasio marafiki zetu inakua poa zaidi

Nilishamuuliza kwamba labdaa anamuona malaya anawanawake wengi hakasema kuwa anavyomfahamu hizo tabia hana yaani labda kama anafanya kimyakimya hila hawezi kumsingizia hajawai kusikia skendo mbaya ya umalaya kwa mpnz wangu

Sasa sababu ya maana hanipi
 
Nikiyapitia maneno yako unayosema kuwa ni ya kaka yako kumhusu huyo mchumba wako......nikiyaweka kwenye mizani nayaona ni mepesi na hayana uzito wa kuangusha penzi la wawili waliopendana.........

Nadhani kaka yako anapitia tu mshituko tu wa kijana mwenzie anatembea na dada yake kwa hivyo amezongwa na fikra za kivulana na wivu wa kitoto........

Ni jambo la kawaida na litaisha kwake kadri muda unavyoenda......

Inawezekana aliyosema yakawa na ukweli ndani yake lakini kadri unavyokwenda watu hubadilika na kuwa watu wema na kuanza maisha mapya.......hivyo ni vibaya kumhukumu kwa mienendo ya nyuma.......

Kama wewe mwenyewe huoni baya kwake na yupo kwenye mipango na malengo mliyojiwekea basi dumu kwenye hilo.......na si vyema kumuambia jambo hilo kwani atakuona bado una akili za kitoto......

Asante kwa ushauri mkuu

Mimi pia nimeliona hilo ukizingatia kwenye kazi yeye ni mdogo zaidi
 
Kipendacho roho hula nyama mbichi,we olewa tu ,yakikushinda ni sehem ya maisha.Mahusiano hayana fundi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom