Nifanye nini juu ya uyu mwanamke baada ya kujua ni mke wa mtu

Mke wa mtu ni sumu,subiri jamaa aje aku_amber rutty,utakuja kukumbuka comment yangu..
 
Lakini inategemea unaweza kwenda kumfumania jamaa alafu ukaambulia kipigo wewe mkeo akakudharau kwa lingine pia unapigwa mbele ya mali yako
 
Achana naye taratibu bila fujo yaani kata mawasiliano naye taratibu, kwa mfano usiku wasiliana naye mara 2 kwa wiki, baadae mara 1 kwa wiki baadae mara 0 kwa wiki, akilazimisha mblock kila mahali au ubadilishe namba na mtaa.

Angalizo: Huyo mwanamke siyo mzoefu wa uchepukaji kwahiyo yeye au wewe kukamatwa ni rahisi mno, kimbia.
 
Usipokuwa tayari kumwumiza uwe tayari kuumiza marinda yako, kama unapenda marinda yako achana naye,
 
Achana naye taratibu bila fujo yaani kata mawasiliano naye taratibu, kwa mfano usiku wasiliana naye mara 2 kwa wiki, baadae mara 1 kwa wiki baadae mara 0 kwa wiki, akilazimisha mblock kila mahali au ubadilishe namba na mtaa.

Angalizo: Huyo mwanamke siyo mzoefu wa uchepukaji kwahiyo yeye au wewe kukamatwa ni rahisi mno, kimbia.
Ni kweli maana ananiambia toka aolewe ajawai kuchepuka hii ni mara ya lwanza kwangu
 
Back
Top Bottom