Nifanye nini juu ya uyu mwanamke baada ya kujua ni mke wa mtu

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
211
145
Nilikutana na mwanamke maeneo ya Posta Feri Kivukoni nikavutuwa na muonekano wake nami sikusita kumwambia yaliyo moyoni mwangu.

Nilizungumza naye akanielewa na kunipa mawasiliano yake tukaendelea kuwa siliana na ndipo na yeye akanieleza vile anavyojisikia juu yangu tukakubaliana kuwa wapenzi lakini akaniomba tupime afya kabla ya chochoyte nikakubaliana naye na tulifanya ivyo na tukatimiza kile tulichokusudia kukifanya kwa pamoja siku hiyo.

Sasa baada ya hapo ananiambia kwa yeye ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja isipokua mumewe ni mtu wa kusafiri safiri kikazi yaani akirudi nyumbani anaweza kaa week moja kisha akasafiri akaenda kukaa uko hata week 3 mpaka 4 takribani mwezi mmoja nikimtazama huyu mwanamke namuona mumewe anamuudumia vizuri tu amependeza ananga'a ni mwanamke mzuri kwa kweli na anaonekana ni mwenye kujieshimu na kujitambua pia toka nikutane naye.

Leo ananiambia kwamba ananipenda na kwa nini atukukutana mapema kabla sasa najiuliza je anamaana gani na anakusudio gani maana ameshaniambia yupo tayari kunizalia hata mtoto jamani wakina dada tuwape nini ili mridhike msitusaliti endapo tukiwa mbali au hata tukiwa karibu jamani ndio maana naogopa kuoa mpaka sasa.

Ushauri je mnanishauri nifanye nini juu ya uyu mwanamke baada ya kujua ni mke wa mtu nimuache au niendelee naye maana anasema nikimuacha nitamuumiza sana na mimi hua sipendi kumuumiza mwanamke kumuacha wakati tayari ameshanivulia nguo zake za ndani..Nifanye nini ndugu zangu.

Na pia nasikia imeandikwa kwamba ukitembea na mke wa mtu ni lazima ulipe kwa mkeo utakaye muoa naye lazima atakua analiwa nje na ukiwa umeoa pia arafu unatoka nje basi ni lazima mkeo naye awe analiwa nje au wanao wawe wanachezewa aswaaa tena awapewi hata sh 100 je ni kweli haya maandiko au ni story?

Ananiambia toka aolewe ajawai kuchrpuka ndio kwanza ameanzia kwangu lakini yeye akishika simu ya mumewe akosi kukuta mambo ya ajabu yaani mawasiliano na mwanamke mwingine
 
Eti ukimwacha utamuumiza.??? Mwambie afiche upumbavu wake asirudie kuutamka hadharani.
Hivi baadhi ya wanawake ni mazoba. Mtu una Mume wako..
Hata kama anasafiri anakaa muda kadhaa jua ni kwa ajili yako na mtoto wenu.
Badala jitu likae nyumbani limwombee Mume wake huko alipo afanikiwe na asidhurike....kazi yake ni kutembeza papuchi mtaani na kumtia Mume wake mikosi na najisi.
Wewe nawe umeshaona siyo vizuri unajitia na wewe hupendi kumuumiza mtu kwa sababu ameshakuvulia chupi.
Moto wa jehanamu uwachome😏😏😏
 
Kwanza ww unataka kufanyaje/una maamuz gan ukiyofikiria kabla ya kuja hapa jamvini,nadhan tuanzie hapo
Ukweli kama ningegundua kabla kama ni mke wa mtu nisingekubali hata kukutana naye kimwil...maana nasikia ukitembea na mke wa mtu na wewe ukija kuoa mkeo ni lazima hatakuwa anatoka nje ya ndoa yako saaana tena saaana
 
Nilikuata na mwanamke maeneo ya Posta Feri Kivukoni. Nikavutuwa na muonekano wake nami sikusita kumwambia yaliyo moyoni mwangu.

Nilizungumza naye akanielewa na kunipa mawasiliano yake. Tukaendelea kuwa siliana na ndipo na yeye akanieleza vile anavyojisikia juu yangu. Tukakubaliana kuwa wapenzi lakini akaniomba tupime Afya kabla ya yote nikakubaliana naye na tulifanya ivyo na tukatimiza kile tulichokusudia kukifanya kwa pamoja siku hiyo.

Sasa baada ya hapo ananiambia kwa yeye ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja isipokua mumewe ni mtu wa kusafiri safiri kikazi....yaani akirudi nyumbani anaweza kaa week moja kisha akasafiri akaenda kukaa uko hata week 3 mpaka 4 takribani mwezi mmoja. Nikimtazama huyu mwanamke namuona mumewe anamuudumia vizuri tu amependeza anangaa ni mwanamke mzuri kwa kweli na anaonekana ni mwenye kujieshimu na kujitambua pia toka nikutane naye.
Leo ananiambia kwamba ananipenda na kwa nini atukukutana mapema kabla...sasa najiuliza je anamaana gani na anakusudio gani maana ameshaniambia yupo tayari kunizalia hata mtoto..

Jamani wakina Dada tuwape nini ili mridhike msitusaliti endapo tukiwa mbalu au hata tukiwa karibu jamani ndio maana naogopa kuoa mpaka sasa.....

Ushauri je mnanishauri nifanye nini juu ya uyu mwanamke baada ya kujua ni mke wa mtu nimuache au niendelee naye maana anasema nikimuacha nitamuumiza sana na mimi hua sipendi kumuumiza mwanamke kumuacha wakati tayari ameshanivulia nguo zake za ndani..Nifanye nini ndugu zangu.

Na pia nasikia imeandikwa kwamba ukitembea na mke wa mtu ni Lazima ulipe kwa mkeo utakaye muoa naye lazima atakua analiwa nje na ukiwa umeoa pia arafu unatoka nje basi ni lazima mkeo naye awe analiwa nje au wanao wawe wanachezewa aswaaa tena awapewi hata sh 100 je ni kweli haya maandiko au ni story....???

Kuna mambo ya kuomba ushauri lakini hili lako ni la kwako.
 
Ukweli kama ningegundua kabla kama ni mke wa mtu nisingekubali hata kukutana naye kimwil...maana nasikia ukitembea na mke wa mtu na wewe ukija kuoa mkeo ni lazima hatakuwa anatoka nje ya ndoa yako saaana tena saaana
Hujajib swal,ww umepanga kufanya nn kwanza kabla ya kuja hapa jamvini??
 
Eti ukimwacha utamuumiza.??? Mwambie afiche upumbavu wake asirudie kuutamka hadharani.
Hivi baadhi ya wanawake ni mazoba. Mtu una Mume wako..
Hata kama anasafiri anakaa muda kadhaa jua ni kwa ajili yako na mtoto wenu.
Badala jitu likae nyumbani limwombee Mume wake huko alipo afanikiwe na asidhurike....kazi yake ni kutembeza papuchi mtaani na kumtia Mume wake mikosi na najisi.
Wewe nawe umeshaona siyo vizuri unajitia na wewe hupendi kumuumiza mtu kwa sababu ameshakuvulia chupi.
Moto wa jehanamu uwachome
Asante mama ushauri. Nataman ungemfunda huyo dada. Unajua nazhangaa kwakweli mume anahudumia vizuri anahangaika juu yake lakin yeye anakitembeza tu... dah.. achapwe viboko. Hana akili huyo
 
Hivi brother bado unaweza kusema eti "anajiheshimu".

Kama kaweza kumfanyia hvyo mumewe wa ndoa kwanin ashindwe kwako wewe?

Anachokitaka kwako wew ni huo uzinzi tu na hakuna jengine.

Tujitahidini tusiwe wavivu wa kufkiria tuzitume akili zetu.
 
Hakika ni kweli kabisa
 
Kama nisamaki basi ndio kavuliwa hivyo anasubiria kuliwa tu, kwahiyo mkuu subiria kuliwa maana tayari umeshavuliwa
 
Kila mla vya wenzie na vyake huliwa pia,
Ameshakupa taarifa kwamba ni Mali ya mwenyewe bc muache hayo maumivu yake yakizidi atamwona dokta,,ukitaka maamuzi yatoke kwa wengine ni kwamba mega nawe utamegewa sk zijazo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom