Nifanye nini jamani


Halafu Dongola si nakudai!!!! kumbe una pesa nyingi hivyo ila deni kulipa hutaki
 

Amekuambia ni zawadi, na kama umemsamehe hizo hela zitumie ilakama unakinyongo nae basi zirudishe. Maana utakua umempa ujumbe kua unamchukia.
 
Karucee ha ha ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha
multiple id's
 
Last edited by a moderator:
Miss chagga combzis way watu hawajui matumizi ya hela!
 
tumia tu hiyo hela sijaona ubaya wake naona amekupa kwa wema. Alikuwa anakupenda na pengne anakukumbuka still maana aliye nae hakuwa chaguo lake. Amekupa kama appreciation yake kwako
 
Wewe tumia pesa hiyo ikusaidie huyo achana naye kama uitaki hiyo pesa.Nenda jukwaa la biashara kadonate kwa watu wanaohitaji mitaji na hawana pesa.

Huyo si wako tena hiyo ametoa kama zawadi tu kwako
 
Hayo mapene wewe tumia haina kuremba hujamuomba,kakupa kiroho safi,tafuta biashara ya kufanya
 
Mwanaume/Mwanamke akiugusa moyo wako kwa namna ambayo haujawahi kuguswa na mtu mwingine hapa duniani ukitaka kumtafuta katika dunia hii ya leo utampata tu. Hizo pesa umeambiwa ni zawadi kwa kumbukumbu yako kwake hujaiba au kumdhulumu yoyote, mshukuru kwa msaada wake kisha ufanye yale uyatakayo kwenye maisha yako kwa kutumia hizo pesa.

Inaumiza sana kupendana na mtu kiasi hicho halafu Wazazi/ndugu ndio wanakuwa chanzo cha kuvunja penzi lenu, baadhi hugoma na kuendelea na penzi lao na hili huweza kuzua tafrani kubwa sana katika familia ya mke au mume na wapendanao pia.


Sijajua mbaka saizi wapi kapata namba
 
yeuwiiii jaman hebu mpe ac # yangu antumie.. mi kwa kweli hela sirudishi hasa ukizingatia sikutembeza bakuli kwake..
 
Pesa hazina tatizo, tumia tu, kama anataka kuwasiluana na wewe atafanya hivyo hata kama utazirudisha hizo pesa....
labda tu kama hizo pesa zinahatarisha mahusiano yako mapya.... Vinginevyo zitumie tu.
 
nami nilitaka kusema hii mtoa mada inaonyesha ni id pacha ya karucee
 
dada yangu kama bado una mpenda usichukue hiyo hela mrudishie coz itakuwa ni kitanzi kipya kwako, trust me ukizitumia tu utaendelea kumpenda daima na ipo siku mtarudiana. kipendacho roho hula nyama mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…