Nifanye nini ili tabia ya punyeto niache?

Katoto kadhuri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
759
Reaction score
327
Wakuu nimekua mhanga sana wa kujichua, nimekuwa nikifanya hivyo tangu nimevunja ungo.

Hali hii imefanya nabadili wanaume sababu kila naedate nae najikuta hanilidhishi hata tukienda 30mns non stop.

Nimekuwa mhanga sana wa mambo haya cz nikifanya najilidhisha kabisa hamu zote zinaisha tofauti na mwanaume!

Nisaidieni jamani kabla sijafika mbali nawaza sana hii hali nitaiachaje.
 
Fika mbali kwanza ili uone umepata faida gani..

Na siku zote utambue maamuzi ya kuacha jema au baya lipo kwa mhusika mwenyewe wala sisi hatuwezi kukusaidia kama wewe hujaamua.

Hebu piga punyeto kwanza kabla hujareply hii komenti.
 
Wakuu nimekua mhanga sana wa kujichua, nimekuwa nikifanya hivyo tangu nimevunja ungo.
Hali hii imefanya nabadili wanaume sababu kila naedate nae najikuta hanilidhishi hata tukienda 30mns non stop.
Nimekuwa mhanga sana wa mambo haya cz nikifanya najilidhisha kabisa hamu zote zinaisha tofauti na mwanaume!
Nisaidieni jamani kabla sijafika mbali nawaza sana hii hali nitaiachaje.
Njoo nikupe penzi matata achana na hao wanaume wa Dar ni dhaifu.
 
Back
Top Bottom