Nifanye nini Ili nisimpoteze

Miaka 20 ajajua nn sasa mkuu na utandawazi wote huu
Dah,Wewemwenyewe bado hujajua.Watu wengi huwa wanajua na kuelewa maana ya kupenda wakiwa na 40+ years.Wachache labda wakiwa na 30 years.Bellow 30 years wengi wanakuwa na IDEA ya UPENDO.Ukimpenda mtu huwezi kuandika habari za upendo wenu online,huwezi screenshot message yenu mtandaoni,Huwezi omba ushauri kuhusu mustakabli wa uhusiano wenu Mtandaoni,Huwezi mletea mapenzi wakati unafahamu kabisa kwamba yuko na masomo ambayo ni muhimu kwake kwa wakati huu.Kimsingi wewe Hujampenda wala yeye Hakupendi,It is Just a whim.Focus kwenye kujenga maisha.Ukifika wakati wa kumpenda utampenda,Kwa sasa hata hujui unachotaka.
 
Hata mimi na Navone wangu kipindi hicho tulidanganyana hivo hivo, baada ya yeye kwenda chuo na mimi kurudi mtaani baada ya chuo mambo hayakuwa mambo.. you better prepare for anything.,
 
Dem wako ivi punde ametoka kusoma post yako apa jf akabaki anacheka πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…