Nifanye nini ili nipate ajira?

Nifanye nini ili nipate ajira?

Umeenda NIT kusoma Udereva unaacha kusomea VETA hasa Ufundi Mchundo au Ufundi wa magari ujiegeshe gereji au workshop kwa wana upige spana. Mchongo utakukuta hapo hapo kwa wana.
Umesoma wee umekosa ajira, ukaenda tena kusomea kitu tena kinachohitaji ajira. Madogo mna shida sana vichwani.
 
Back
Top Bottom