Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,477
- 25,403
Wakuu nataka nionekane mtu mwenye busara na hekima tele ila sijui pa kuanzia ,nifanye nini ili niwe mtu wa busara?
Nimekuelewa mkuu,Vaa smart, usiwe too much talkertive,usiwe na papara yaani usiwe na mapepe,angalia movies na soma sana vitabu vya ziada ili uwe unaongea na kutenda point,ji socialize na wenye busara zaidi, ibada muhimu ila usipitilize maana unaweza kuwa complicator,ishi kwa ratiba yaani maisha yako ya kila siku yagawanye kwa masaa,penda kufuatilia field mbali mbali ili uwe na uelewa mpana.Anza na hayo mengine kesho nitarudi
Mkuu nimeupenda mchango wako sanaVaa smart, usiwe too much talkertive,usiwe na papara yaani usiwe na mapepe,angalia movies na soma sana vitabu vya ziada ili uwe unaongea na kutenda point,ji socialize na wenye busara zaidi, ibada muhimu ila usipitilize maana unaweza kuwa complicator,ishi kwa ratiba yaani maisha yako ya kila siku yagawanye kwa masaa,penda kufuatilia field mbali mbali ili uwe na uelewa mpana.Anza na hayo mengine kesho nitarudi
watu makini na wenye busara na hekima kama mh rais...
lakini sio hotuba za JPM, utakuwa chizi kabisaa...Sikiliza sana hotuba za watu makini na wenye busara na hekima kama mh rais... itakusaidia mno
Kkkkkkk nimecheka mpaka watoto wameamkaIla hebu ngoja, ujue hivi vitu vinaanza kwenye levo ya familia? Kama wewe hauna na haujajua ufanyeje tuseme familia yako yote hamna mwenye busara?
dah hayaJiwekee ratiba ya kusoma biblia kila siku hata kama ni muislam.... utabadilika baada ya mwezi wenzako watakushangaa..
Hivi mtukufu wetu ni smart kweli au wataka kumpoteza mwanajamii mwenzetu?Sikiliza sana hotuba za watu makini na wenye busara na hekima kama mh rais... itakusaidia mno