Neema j swai
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 177
- 103
Kama unakula laki mbili kwann uache? wenzako wanabett kila siku lakin wanatoka kapaNilijitaidi kwa wiki moja sikubet kabisa nikawaambia watu nimeacha kila mtu alishangaa anaye nijua ila wiki sina furaha kabisa nikaenda siku moja nikaweka mkeka nikala laki 2 nilijiona kama nimekosa pesa nyingi sana nilivyo acha
Wacha bwana weeeeWiki iliyopita nilimpasua Mzungu wa Princess milioni 4
Hahahah mzee umeniacha hoi ila ndio ukweli huo, kubeti ni kama bima ya afya, wale wasioumwa sehemu ya hela zao inatumika na wanaoumwa!Hujampasua mzungu, umewapasua waokota makopo wenzako walioweka vi mi5 mi5 vyao
Nawashangaa wanaomwambia aache kubet.nawashauri km wanamwambia aache kubet wampe pesa au ajira Mimi nimeajiliwa ila ila pesa ninayopata kwenye kubet ni zaidi ya Mara 3 ya kipato changu kwa mweziHalichachi wala halivundi kwa mfano...... Unaanzaj kuacha
Kula like mkuu, bila shaka we ni mwanachama wa live betting. Na huko ndiko kwenye hela uhakika sio upumbavu wa kubeti mechi ambazo hata wachezaj hawajatoka hotelini kuelekea ground!Mkeka wangu bado barca nipate hela ya kodi kesho,anaongoza 1 tayari
This is true, ni kazi gani utafanya uingize laki mbili kwa lisaa katika nchi yetu hii?Nawashangaa wanaomwambia aache kubet.nawashauri km wanamwambia aache kubet wampe pesa au ajira Mimi nimeajiliwa ila ila pesa ninayopata kwenye kubet ni zaidi ya Mara 3 ya kipato changu kwa mwezi
Jisajili meridian bet uanze kula pesa mkuu, uzuri kule kuna ligi nyingi hamna mfano na unaweza kubeti gemu inayocheza kikubwa mtaji tu. Waweza tengeneza hadi laki 5 kwa siku kwa kutumia msingi wa laki tu. Acha kubeti kishamba ile kwamba flani win. Betia idadi ya magoli mbn unachomoka fasta mno!Mi natamani kubet ila kwenda kwnye vile vibanda ndo siwezi, hv online huwez kubet kwa hapa bongo??
Wanaotoka kapa ni wale wanaobeti jero kwa milioni 6. Maisha.....huwezi bashiri timu zaidi ya kumi ukapatia zote! You must be very lucky man. Wajanja tunakula na gemu za live, cheza na idadi ya magoli tu kulaza laki 3 kwa siku sio kitu cha mchezo. Na probabilty ya kukosea ni ndogo sana maana unachezea gemu maximum 3.Kama unakula laki mbili kwann uache? wenzako wanabett kila siku lakin wanatoka kapa
Usiache kubet mzee, badilisha mfumo wako wa kubet. Na hii ni dalili ya kuchoka kuwachangia wenzio wanaokula kila siku mkuu, acha kubet kishamba jisajili kampuni zinazoruhusu kubeti game za in-play! Meridian, M-bet na Premier sema utafanyia mambo haya kwenye smartphone yako.Jamani nifanye nn ili niweze kuacha kubet kwasababu mm imekuwa ni zaidi ya madawa ya makonda
Mbona izo ni zakufikia tuKama unakula laki mbili kwann uache? wenzako wanabett kila siku lakin wanatoka kapa
Wenye shida ganiWape wenye shida hiyo hela
Itanibidi niendelee kumpasua tu huyu mzunguNawashangaa wanaomwambia aache kubet.nawashauri km wanamwambia aache kubet wampe pesa au ajira Mimi nimeajiliwa ila ila pesa ninayopata kwenye kubet ni zaidi ya Mara 3 ya kipato changu kwa mwezi
Nikishinda je itakuwa nimemshikisha adabu uyo mzunguUza mali zote jumlisha na kipato chako chote... ukipigwa utashika adabu
Poa poaUsiache kubet mzee, badilisha mfumo wako wa kubet. Na hii ni dalili ya kuchoka kuwachangia wenzio wanaokula kila siku mkuu, acha kubet kishamba jisajili kampuni zinazoruhusu kubeti game za in-play! Meridian, M-bet na Premier sema utafanyia mambo haya kwenye smartphone yako.