Nifanye nini hii hali inanikera

cold water

Member
Oct 6, 2021
5
45
Naomba kujua yani Mimi nikikaa kidogo tu mautando kwenye macho mda wote nijitoe ni hali ya mda mrefu sana inanichosha kujipikicha macho mda wote nitakuwa na shida ya macho au? Hii picha hapa chini sio Mimi Ila natolea mfano tu inavyokuwa .
Screenshot_20211029-134353.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom