Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
eti mwingine anakuja hiv karibuni!
kwa hiyo?
tukuletee pampas?
Mie nina offer moja tu wala siyo zaidi ya hapo,
Kuwapeleka wote wakaombewe...lol!
eti mwingine anakuja hiv karibuni!
kwa hiyo?
tukuletee pampas?
NDUGU YANGU nimekaa na mawazo,Kuna muda nashikwa na hasira natamani nimuambie ukweli lakini naona kama naweza kusababisha madhara makubwa kama sio kwakwe,ni kwa yule mwanamke ambaye amekubali kunizalia mtoto wa kwanza,na amekuwa radhi kuniongezea mwingine,au hata kwangu pia maana nimeshaanza kuona dalili za ushirikina
Nashindwa hata kukushauri.wewe si mkweli hata kidogo.sema matatizo na masumbufu ya dunia unayompa mkeo kwanza kabla ya kutuambia ubaya wake.unafanya maujinga yako halafu una tafuta washabiki hapa jf.jirekebishe kwani haupendezi h ata kidogo
Mimi nijuavyo wanawake wengi ni wakatili kutokana na manyanyaso wanayoyapitia kutoka kwa mwanaume na mwanamke wa namna hii ukatili wake ni mkubwa sana,pia kuna wanawake ni wakatili toka kuzaliwa kwao na huyo ungemjua mapema na usingekubali kumuoa.hivyo Kama mkeo hakuwa na tabia hiyo kabla basi jiangalie vzr.halafu unasema umezaa nje ya ndoa je una uhakika gani kuwa Hao watoto ni wako?isijekua ulienda kwa huyo mwanamke ukatangaza udhaifu wa mkeo wa kuto zaa ?utakujapewa watoto wa wenzio na Hilo si geni linafanyika sanaaa tu.watoto wanatoka kwa Mungu!ninajua huyo mkeo anachopitia kwani hata mimi nilikaa muda mrefu sana kwenye ndoa bila kupata mtoto na manyanyaso niliyopata.mume wangu alitafuta wa kuzaa nae Kama wewe ulivyofanya!nilipata maumivu ya moyo zaidi ya nielezeavyo!kwa Mungu hakuna gumu! Leo nami naitwa mama japo madaktari walisha sema siwezi pata mtoto!mbaya zaidi mtoto aliyezaliwa nnje ana baba wa tatu na wote walikuwa wanahudumia toka mimba mpaka mtoto!wamekuja kugundua ktk Hao wa tatu hakuna baba hilisi baba halisi ni kakijana ka mtaani tu!pole na kuwa makini sana.Mpende mkeoI wish ungenifahamu mama timmy,kuna wengine huku wamechangia na kuona kama nimeolewa.ila ukweli ni kwamba sikupanga kabisa kutoka nje.tatizo lako wewe unaona kama wanaume ni wakorofi,natamani ningekuelezea historia ya maisha yangu na mambo ambayo nayafanya kwa ajili yake lakini hakuna shukrani wala kujali,Mama jinsi unavyonifikiria sivyo nilivyo,mpaka muda mwingine nawaza kwanin hili limetokea kwangu???
I wish ungenifahamu mama timmy,kuna wengine huku wamechangia na kuona kama nimeolewa.ila ukweli ni kwamba sikupanga kabisa kutoka nje.tatizo lako wewe unaona kama wanaume ni wakorofi,natamani ningekuelezea historia ya maisha yangu na mambo ambayo nayafanya kwa ajili yake lakini hakuna shukrani wala kujali,Mama jinsi unavyonifikiria sivyo nilivyo,mpaka muda mwingine nawaza kwanin hili limetokea kwangu???