mchuma janga hula na wakwao.
Habari za majukumu mr gedo
kwanza ningependa kukuambia jambo moja kwa dunia ya sasa inakupasa kuwa na maamuzi yako binafsi na maana hii. umekuwa ktk mahusiano na wasichana wawili pasipo wao kujijua inamaana tayari tabia zao unazifahamu vyema hivyo kumbuka huwezi ukawa nao wote I mean kuoa wote sasa nacho kushauri ni vema ukawa na aliye na mtoto tayari kwani mtoto anategemea malezi ya pande zote mbili baba n mama hivyo utakapoajiriwa ni vema ukawa karibu na aliye na mtoto ili mwanao asije ishi maisha ya taabu kisa wazazi hawakuwa na msimamo leo anateseka mtoto asie na kosa lolote lile nadhani umenisoma
huyu mwingine utakapo ajiriwa poteza mawasiliano naye kwa muda ili upate nafasi kumlea mwanao
umri wangu hauniruhusu kushauri hili. Ngoja niwasomeni wajukuu zangu.
Wana MMU naomba ushauri wenu iko hivi. ::;nilipokua mwaka wapili chuo kikuu nilikua namahusiano yakimapenzi namabinti wawili wote form four leavers ila failures,sikupenda mabinti wachuo sabu niliwahi kua nae mmoja mwaka wakwanza alinitenda vibaya nikaapa kua nademu chuoni!sasa hawa mabinti mmoja alikua nyumbani namwingine maeneo yachuo(alikua anafanya kazi stationary) niliwapenda kawaida sana naupendo sawa!mwaka wapili mwishoni wkt narudi nyumbani kumbe yule binti wachuoni alikua namimba,nilipofika nyumbani kama kama kawa nikawa nayule wahome.baada yamuda kidogo demu wachuoni akaniambia anamimba sikukataa sabu kweli nilimtumia sana,likizo ikaisha ile narudi chuo wanyumbani nae anapiga simu anamimba sikukataa pia,nikawa kwenye mtihani mkubwa huku nahuku!kama mwezi watatu hivi yule wachuo alijifungua bahati mbaya mtoto alifariki,ila kupitia hili kwao wote wananijua sikukaa sana nayule wahome mwezi unaofata akajifungua motto wakiume ila yeye mzima hadi sasa!nimekaa nao hadi sasa ila hakuna anayejua kuhusu mwenzie zaidi yangu nawako mbali,chazaidi wote niwife material nawazuri nimejaribu kumwacha wachuoni nimeshindwa nanafsi yangu inanisuta sana sabu nimewahi mtuma mtu amtongoze nipate sababu yakumwacha imeshindika napia huyu home hawamjui.ila huyu home anajulika home nakashakaa mkao wakuolewa napenyewe ajira zinatoka kesho!,ila nikiri wote walinizalia chapa yangu,sabu Hutu alienizalia kidume nicopy Yangu kabisa nahata alie nizalia mtoto akafa nilimuona alikua niwaukoo wangu kabisaaa!sasa hapa nipo kwenye mtihani nanizaidi anafaa kuishi namm?nikijaribu kufikiria kumuacha mmoja moyo wangu unauma sana naukizingatia mm mkristu mke mmoja!,NIFANYAJE YAMENIKUTA NAOMBA MSAADA WENU WANAMMU..