Nifanyaje nimsahau?

Its simple... boyfriend wako akujali lakin unampenda... another guy anakupenda ww humpendi lakin anakupa vitu vya maana?
 
ungekuwa umeandika kwa kiswahili ninge-koment lakini hicho kiswanglish sikijui.!
 
Heeee... nimemaliza mishe mishe zangu.. then nafungua JF kwa kaas nkijua story imenipitaa kumbe hoooolaaa....
Bas ngoja niangalie mechi tu..
Mniite ikiendeleaa
 
Its simple... boyfriend wako akujali lakin unampenda... another guy anakupenda ww humpendi lakin anakupa vitu vya maana?
Kama ni kweli, basi dunia mbovu sana. Mi wanawake nawasoma, wanatafuta kizuri zaidi. Leo yupo na wewe, akipata zaidi yako anasepa. Naomba tu nisikutane na wanawake wa aina hii, hapa nikuumizana tu. Jana aliposti Olivia leo huyu. Ngoja nisigombane na babe, nikaachwa maana nitakuwa bonge la player.

-callmeGhost
 
Ndo imetoka hiyo,msikae kusubiri,huyu ameamua kutuongezea nyege mpaka mzuka kupanda,mtasubiri mpaka mtayoyoma,huyu kaamua kutu enjoy tu.
 
Jamani muwe wapole natafuta kamuda kakuendelea kuandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…