nifanyaje na huyu bwana

Pengine umri wako ni mdogo kutokujua jema na baya.... ni vizuri kusikiliza ushauri wa wazazi lakini ni vizuri zaidi kuchuja mawazo yao na kuwaambia msimamo wako na sababu zake hasa.... otherwise nikutakie siku njema dogo.
 
Umeanza kufunuliwa at 17? Aaah...! Hata hivyo umejitahidi kuwa nae kwa miaka name, sio mbaya... Sasa unaanza cycle nyingine, usipoangalia by 28yrs watapita wengi..SIO LAZIMA WOTE TUSHAURI..wengine tunachagiza tu..
 
Kwa kumbukumbu zangu wewe dada uliliwa humu jamvini na jamaa mmoja

Jamaa wa watu kwa kweli alitia hurumu we ukawa unarembua. Ukamkataa mbele ya umma wa JF

Leo unakuja kulia humu ! Pathetic ! You are an idiot
 
Hilo ndio tatizo la bandika bandua...huwezi msahau mtu kwa kumtafutia replacement 'bora liende'....

Tulia upate kitu quality...

Huyo ulonaye unamtumia tu huna mapenzi naye (rebound)
 
Miaka 8 hamna ndoa na huku mnasema bado mnapendana?
 
kwa aina ya nyuzi zilizipo humu?
hii haiepukiki!
wacha wapate majibu ya kifyatu kama ufyatu waletao!
tufanyaje sasa?
ngoja waje Tyta na watu8 utaona jinsi Kongosho alivyojibu kwa upole na ustaarabu!

Mtani ngoja miye nipite kimya kimya...
 

asante kwa ushauri najitahidi juu hiloo asante saaana
 
Kwa kumbukumbu zangu wewe dada uliliwa humu jamvini na jamaa mmoja

Jamaa wa watu kwa kweli alitia hurumu we ukawa unarembua. Ukamkataa mbele ya umma wa JF

Leo unakuja kulia humu ! Pathetic ! You are an idiot

hahahahaha ucnikumbufushe fun yangu na ya my friend
 
Wewe si ulijidai unaenda kusoma unaacha mume? Shauri yako na wengi mnapoteza kwa staili hii. Ulishindwa nini kuolewa halafu uende shule? Umeshapoteza tafuta wa kwako achana na mume wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…