nifanyaje na huyu bwana

nifanyaje na huyu bwana

inaniuma nikikumbuka mambo ambayo tulikuwa tukishare na kusaidiana

Miaka 8 ni halali kukumbuka mengi.. Hebu fikiria wanaoachana na miaka 47 tena na watoto, itakuwa we we!!!
Keep calm, love can make anyone feel sorry
 
Mtafute mtiane wee muagane, afu umset mkewe awafumanie. Hutamkumbuka asilani.

Kweli naona jukwaa mmelichoka kabisa.

MMU sio mahala salama tena wala pakueleza matatzio yako.!
 
huyu bweg.e uliye nae sasa hivi hamshei na kusaidiana chochote?
kwanza usimuite bwe .ge ni mtu ambaye ananisaidia sana kunisaulisha napia tinashare vingi zaidi yule na ameuteka sana muheart wangu bt yule kumsahau ndo majanga
 
kwanza usimuite bwe .ge ni mtu ambaye ananisaidia sana kunisaulisha napia tinashare vingi zaidi yule na ameuteka sana muheart wangu bt yule kumsahau ndo majanga

İsh.... sasa tukusaldie nini mpenzi? ngoja tumwombe ziraili aondoke na roho yake.
 
Waombe ushauri wana familia wako waliokuweka ulipo.
 
Japo sijajua umeachana nae kwa muda gani, lakini saikolojia ya mapenzi inasema ili uweze kumsahau mtu inapaswa ukae walau kuanzia siku 90.

Na hili litawezekana kama utakuwa tayari kujenga mazingira ya kuweka mipaka ya mawasiliano kati yenu.

Jaribu kutengezena maneno yatakayo kufanya uone swala la kurudiana nae ni ngumu kama ilivyo ngumu wewe kurudia uchanga wako. na maneno hayo jaribu kuyarudia rudia kila mara mawazo ya kumkumbuka yanapokuijia

Labda mfano wa maneno hayo unaweza kuwa hivi, ana mke , ana mtoto, n.k ili mradi tu yaonekane kama ndio kigezo kikubwa cha wewe kutokuruduiana nae hata siku moja.

Pia jaribu kuwa karibu na huyo mpenzi wako wa sasa, chukua muda wako kujisomea na kujipumzisha kwa mambo madogo madogo yatakayo kuweka bize kiakili.

Mwisho, Pole sana kwa yaliyokukuta.
 
25 sema neno

Ukirudi miaka 8 nyuma ulikuwa na 17 kuwa na mshikaji which means kama ungetokea mgogoro kipindi hicho jamaa angepewa kesi ya kubaka kama ilivyomtokea mume wa Flora Mbasha, back to the topic, itabidi ukubali matokeo maana huna jinsi kwani mlikuwa hamjajipanga na kuweka msimamo wa pamoja kabla ya kuwashirikisha wazazi wenu na tayari jamaa ameshakuwa mume wa mtu. Ila siku nyingine usirudie kukaa na mtu miaka minane na kwa analysis ya haraka haraka kilichokuwa kinawainganisha kwenye mahusiano yenu ni ngono alafu in the course of relationship ndo mkaanza kufikiria maisha. Kama mliishi miaka nane maana yake isingekuwa shida kama mngeoana alafu ungesepa zako chuo kwa kuwa jamaa hakukuzuia kwenda chuo hasa ukizingatia katika kipindi hicho cha miaka nane wakati mwingine ulikuwa unatoka na kurudi hivyo the same kwenye ndoa napo ungekuwa unatoka na kurudi wakati wa likizo
 
Ni vyema kuachana nae coz kashakuwa mume wa mtu hvyo jitahidi kuweka akili zako katika mambo mengine kama kulazimisha kuwa karibu mara kwa mara na mchumba wako wa sasa.

Gold chance never come twice
 
mmeachana karibuni ndo mana bado yupo kwenye fikira zako.... tengeneza mazingira hayo hayo ya kutomtafuta hadi akutafute yy huku ukijitahid kumjali na kumpenda uliyenae kwa karibu zaid... mwishowe nae ataacha... sidhani kama kuna njia mbadala zaid ya wewe mwenyewe kujitahid kujiweka mbali na wewe.... itafikia kipindi wewe mzizi mpya wa mapenzi ushaota kwa huyu uliyenae
 
kuna wengine wanaushauri mzur na wengiine wabomoaji inabidi kuchambua pumba na mchele

Huwa hakuna ushauri mbaya unaotolewa na mtu mzima na ndio maana ukaitwa ushauri which means jukumu lako ni kusikiliza unachoambiwa alafu wewe ndio unafanya maamuzi na ndio maana hata ukifanya kosa hata kama utajitetea ulishauriwa vibaya bado kisanga kinakuangukia wewe. Asprin amejitolea kuwa monitor wa washauri wabaya. Jitahidi kusahau hata kama mli-share mambo mengi mazuri kikubwa ni kutafuta marafiki wapya wataoku-keep busy na chuo kikichanganya zile test na assignment nazo zitakuwa mkombozi wako. Ikiwezekana m-block kabisa ili akipiga namba yako iwe busy hata akituma sms zinaingia kwenye spam zinaingia kimyakimya na hazipitii directly kwenye inbox
 
Last edited by a moderator:
kwanza usimuite bwe .ge ni mtu ambaye ananisaidia sana kunisaulisha napia tinashare vingi zaidi yule na ameuteka sana muheart wangu bt yule kumsahau ndo majanga

Hakika huu ni ujinga unawezaje kutuambia kma jamaa unampenda zaidi kuliko yule wa mwanzo hali yakuwa bado unamuwaza? Huwezi kumuwaza sana usiyempenda kiukweli tafuta jingine ujitetee
 
Huyo mwanaume alikuwa anatafuta sababu tu.....alikufanya kiburudisho chake.Hainiingia akilini ndani ya miez 3 katongoza,kakubaliwa,kapeleka posa,mahari na ndoa juu!!!

Sijui kwanini akili yangu inafikiria kuwa ulikuwa kiburudisho.
 
Back
Top Bottom