nifanyaje na huyu bwana

nifanyaje na huyu bwana

Kosa ulilofanya ni wewe kumuacha kwenda, ulifuata ya wazazi sasa unaona yanayoanza kutokea?
 
Huyo mwanaume alikuwa anatafuta sababu tu.....alikufanya kiburudisho chake.Hainiingia akilini ndani ya miez 3 katongoza,kakubaliwa,kapeleka posa,mahari na ndoa juu!!!

Sijui kwanini akili yangu inafikiria kuwa ulikuwa kiburudisho.
Walikuwa wanaburudishana wote hao, embu jenga picha miaka 8 mnagegedana tu bila ndoa, sidhani kama hata wewe unaweza kufika miaka yote hiyo bila kujua status ya uhusiano wenu
 
Moren nilikuhadi kusema neno ikiwa tu ungetajq umri wako kwa.sasa. Umesema 25 naam nami nasema neno sasa. Ushauri aliokuwa amekupa kuwa muoane ndipo uende chuo ulikua wahihi kabisa. Kwa umri uliokuwa nao ulikuwa unauwezo wa kuipush hiyo ajenda na ikaeleweka kwa wazazi wako. Kudumu katika relation kwa miaka 8 ni dhahiri mliendana na mngedumu katika familiya yenu. Kubali ulikosea mahali kubaliana na ukweli uliopo kuwa mwenzio kaoa hili likufundishe namna ya kuenenda ikiwa utapatq mahusiano mengine.
 
Walikuwa wanaburudishana wote hao, embu jenga picha miaka 8 mnagegedana tu bila ndoa, sidhani kama hata wewe unaweza kufika miaka yote hiyo bila kujua status ya uhusiano wenu

Katika situation hii yeye ndo anahesabika kama looser.....all in all umri wake bado,ajipange na atamsahau tu.
 
Pole. Let him be. Am sure you wouldnt wanna break his home and bring him misery. You will find happiness elsewhere.
 
Yaani miaka nane amekutumia kupata utamu.....

Pole sana

Hiyo simu unashindwa kumblock au kununua line mpya?
 
itakuwa kuna tatizo mahali.......

habari zenu wana mmu

mimi nina tatizo sijajua ni wivu au kitu gani naombeni msaada hii ni story ya ukweli...

mimi nina shemeji yenu nampenda saaana na yeye ananipenda sana. sasa tatizo ni kwamba shemeji yenu ana mdogo wake wana undugu ila wa mbali kidogo ......na huyo mdogo wake ni wakike na wanaishi naye nyumba moja.

tukiongozana mimi shemeji yenu na mdogo wake anakuwa bizy sana na mdogo wake unakuta wanashikana mikono wanaongea ya kwao mengi tuu kwamba wao ndio wapenzi ,mi ananisahau kabisa ila tukiachana na mdogo wake tu anaanza kunifata na mie sasa ananishika ananambia vyote kuwa ananipenda sa nashindwa kuelewa huo ni wivu au msaada tafadhali kiushauri tu...

m najivunia kuwa na mume bora na mwema kwangu ndo nacho jivunia
 
if two past lovers remain friends its either they are still in love or never were
 
Ni vigumu sana kumuepuka mbikiraji wako. take it from me darling.

Wanepukwa vizuri sana..kwani wao wanann cha tofauti? Ni kufanya maamuzi magumu tuu SITAKI TENA bac anafutika kama wengine wanavyofutika.
 
Haka kameanza ngono mapema sana ndiomaana kamedata,au ulikuwa unampa 0713?inaonekana jamaa alianza kukutifua ukiwa namiaka 15 so njia ishatanuka (bwawa) Lazima atafute mmbadala ndomaana jamaa kaoa unadhani nani hapendi mnato? Ilikumsahau toa tigo tena kwa bidii.
 
alikija kukulilia hapa weeeeeeeeeee ukajishauaaaaaaaaaaa ukajilambalambaaaaaa
mxxxxxxxxxxxxxiou
watu8 where are wen i need you the most!
 
Last edited by a moderator:
Kweli naona jukwaa mmelichoka kabisa.

MMU sio mahala salama tena wala pakueleza matatzio yako.!
kwa aina ya nyuzi zilizipo humu?
hii haiepukiki!
wacha wapate majibu ya kifyatu kama ufyatu waletao!
tufanyaje sasa?
ngoja waje Tyta na watu8 utaona jinsi Kongosho alivyojibu kwa upole na ustaarabu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom