Nifanyaje kukinga TV yangu isiungue ?

Nifanyaje kukinga TV yangu isiungue ?

ESPIRIT

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
665
Reaction score
524
TV yangu flat screen imeungua kwa umeme, nimechukua nyngne. Nina wasi kwamba itaungua tena. Je, nitumie mbinu gani isiungue?

Nawategemea wakuu.
 
TV yangu flat screen imeungua kwa umeme,nimechukua nyngne. Nina wasi kwamba itaungua tena. Je, nitumie mbinu gani'isiungue? Nawategemea wakuu.

tafuta stablelizer mkuu..niliwahi unguza receiver mwaka jana..sijarudia tena kutumia umeme direct kwenye vyombo vyangu!!
 
Tafuta hii extension cable ya Tronic yenye surge protector.Hii extension ni kiboko kwa umeme mbaya.Huwa inazima hata kabla umeme haujakatika pia iko sensitive sana.

20141020_190620.jpg
 
tumia stabilizer kwa ajili ya (over/under voltage)

tumia iyo extension(protection against surge) aliyo suggest kibukila kama flat yako ni ya kichina, maana og's za kina samsung wamejumuisha sakiti ya surge protector ndani yake
 
Back
Top Bottom