Nifanyaje ili nizuie message za Tatu Mzuka?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Rafiki, ukipendwa unaongezewa. Paswedi yako sasa itashinda zaidi. Sasa kila baada ya dakika 10 unaweza kushinda mpaka M6. Kamp No 555111 Kumb No SHINDA.

Sipendi sipendi kabisa messages za hawa watu. Nimechoka sana.

Nifanyeje ili nisitishe huduma hii ?
 
Haya majamaa sijui yanatumia vigezo gani kutuma hizi msgs. Zinaboa balaa. Sijui wanadhani ni wote hatuna akili tucheze hii kamari ya kitoto?
 
Rafiki, ukipendwa unaongezewa. Paswedi yako sasa itashinda zaidi. Sasa kila baada ya dakika 10 unaweza kushinda mpaka M6. Kamp No 555111 Kumb No SHINDA.

Sipendi sipendi kabisa messages za hawa watu. Nimechoka sana.

Nifanyeje ili nisitishe huduma hii ?

Bora hao, wanakupumzisha dk 10 tu, jaribu kupiga kwa tigo ukiwa huna salio utarudi kuwashukuru tatu mzuka
 
add to reject list by adress itakuwa poa shida ni pale utakapo switch chip yako kwnye simu ingine
au wapigie mtandao husika ili wa blacklist hiyo service kwenye simu yako
 
Rafiki, ukipendwa unaongezewa. Paswedi yako sasa itashinda zaidi. Sasa kila baada ya dakika 10 unaweza kushinda mpaka M6. Kamp No 555111 Kumb No SHINDA.

Sipendi sipendi kabisa messages za hawa watu. Nimechoka sana.

Nifanyeje ili nisitishe huduma hii ?

Jaribu hivi:
 
Anaogopa kuchekwa!
Angesema hivi nimejaribu kucheza Sasa nimeacha ila sms bado zinanisumbua!

Hawatumi hayo madude kama hujawahi cheza
Mimi sijawahi kucheza lakini natumiwa
 
Rafiki, ukipendwa unaongezewa. Paswedi yako sasa itashinda zaidi. Sasa kila baada ya dakika 10 unaweza kushinda mpaka M6. Kamp No 555111 Kumb No SHINDA.

Sipendi sipendi kabisa messages za hawa watu. Nimechoka sana.
 
Ukweli ni kuwa hizi sms zinatumwa kwa Namba zilizowahi kucheza.

Awali nilikuwa sijawahi kupata hizo SMS lakini nilipocheza Mara mbili (uongo dhambi) ndio nikawa nimefungulia hizi sms zinakuja kila saa zikinishawishi kucheza.
 
Back
Top Bottom