wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,402
Kwa kuzingatia wajibu wa taasisi hiyo ya kuhudumia huduma za Afya Bure kwa wanachama wake wale walio na utegemezi pamoja na mwanachama mkuu ambaye ana mkataba wa kudumu kazini ambao anaweza kuchangia mfuko huo kila mwezi.
Pamoja na taasisi hiyo kufanya kazi kwa uwezo wake lakini bado hakuna huduma bora au kuwa tija na viwango vya kukidhi ubora ktk vituo vyingi vinavyotumiwa ktk kutoa huduma zao hasa ktk Zahanati na Hospitali za wilaya na hata mkoa kwa kushindwa kuwa na Dawa za kutosha, wataalam na vifaa tiba kulingana na mahitaji, na ukosefu wa huduma nyinginezo kwa wanachama wake.
Kwa kuwa nimeona hayo najiuliza, nifanyaje ili nihame ktk shirika/ taasisi hii maana yapo mashirika mengine yana huduma kama hizo na bora, za kampuni binafsi zinazotoa huduma kwa wakati na ubora zaidi.
Pia najiuliza kwa nini wanachama hawapewi uhuru wa kuwa mwanachama au lah .. maana inatokea jina la mfanyakazi lipo NHIF pasipo hata ridhaa ya muhusika. Na je kama Hana nia na kuchangia ktk mfuko huo achukue hatua zipi ?/! ili ajitoe
Ni hayo tu wana JF, baada ya kero/ hoja nyingi sn nilizoziona.