Nifanyaje binti huyu asije kunipiga tukio?

Nifanyaje binti huyu asije kunipiga tukio?

Huyo mleta mada sio mimi,huyo ni Mvulana na mimi ni Mwanaume,
Wanaume hatuwezi kuomba ushauri kwa jambo dogo kiasi hicho,huyo ameiga tu ID yangu kwa kukosa ubunifu.
Nilitaka nishangae, toka lini legend akashindwa na vitt vidogo kama hivi…

Anyways ilikuwa ni namna ya kukusabahi pia 😉
 
Wasukuma hawapendi blaa blaa sijui swagaa/ubishoow:
A.kua na mipango yenye kutekelezeka kimaisha.
B.Show kaliiii mzee.
C.Onesha kumjali na mweshimu.
D.Jiandae kwa lolote saa yoyote,mapenzi usiyafanye pumzi Yako as ukiyakosa unakufaa...nooo tumehamaa huko.
 
"Nipeni mbinu anione Mimi ndio kila kitu kwake"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu we sio Hela bwana.
 
Uyo bado hajajuwa aina za matango ko jiandae kisaikolojia hakikisha unampa ujauzito mapema sana nasem ivo ili umwondolee ile watu kumfuata sana
 
Shida ya maha madogo wa buku bee plus vina mapuuza mengi sana havijui tofauti ya mawasiliano na usumbufu!

Vina theory flan za kipuuzi puuzi vikisema "mwanaume wang" sitaki afanye ......++
 
Bonjour,

Nyie wazoefu wa kudate na hivi vitoto vya miaka 20s nipeni experience basi. Maana kuna kitoto kimoja cha Kisukuma nimekielewa kinoma, yaani huniambii kitu, dah!

Naogopa asije akanipiga tukio halafu mjuba hapa ndio nimeshakolea, na mpaka sasa kashakula pesa zangu kadhaa. Nipeni mbinu anione mimi ndio kila kitu, asichomoke, maana hivi vitoto akili zao hazijatulia, kutokana na ukosefu wa experience za maisha, naogopa vile visharobaro vya IFM vivaa supra visije vikanichukulia.

Yaani kama atatulia nina plan ya kumuweka ndani, maana nataka nitulie nacho, kama nyuchi nimepiga nyingi sana.
Bonjour mutoto yangu!Ulete mahari tu.Mtaelewana mukwe yangu.Haiko mayele ya mingi.
 
"Nipeni mbinu anione Mimi ndio kila kitu kwake"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu we sio Hela bwana.
Ila nina hela.. hapo vipi
 
Hiyo hofu ya kupigwa tukio itakuharibia.. kuwa ila usimuamini asilimia 100.
Akiwa na mienendo inayoridhisha weka ndani.
Hii ndio swala ninalo litaka.. Nikiona yupo fresh namuweka ndani, na yeye ameridhia , akasema yeye yupo teyari, anytime
 
Huyo mleta mada sio mimi,huyo ni Mvulana na mimi ni Mwanaume,
Wanaume hatuwezi kuomba ushauri kwa jambo dogo kiasi hicho,huyo ameiga tu ID yangu kwa kukosa ubunifu.
Wewe mpka nikugongee Binti yako , uliye fanana nae
 
Back
Top Bottom