Niendelee kutafuta mchaga wa kuoa?

Niendelee kutafuta mchaga wa kuoa?

Mkuu wengi wamesema ila nataka nikuambie hivi; huyo alitaka kukuambia humfai aliposikia kuwa weye ni Mmakonde. Mchaga, ale nyama banaa, haswa kitimoto. Sasa weye, mmakonde na samaki nchanga!!!
Jamani, wapi na wapi?? Mbona sisi tunaye mchaga, tumekaa naye miaka 40 na kwao akienda hamalizi mwezi kabla hajarudi hapa kwangu. Alikuwa hajui kuunga kwa nazi, leo kamzidi mwanamke wa Kitanga.
Aliona huna lolote, pesa si kuwa nazo mfukoni, pesa ni kujua kuzitumia, Weye, hujui ni Mmakonde tu. Mbona kakako Ben anaye na hawaja achana???
 
Unataka mke au kabila????? Usikariri sio kwasababu kabila fulan wana sifa hii basi wote wapo ivyo.
 
Mkuu nina njuruku ya kutosha sana. Sema natafuta mtu wa kunisaidia niziendeleze zisijeisha kabla sijafa...!!!!

We chukua hao mabinti ili mradi usimyanyase wala kumzuia kwenda Moshi kila Christimas. Pia mpe uhuru wa kufanya kazi na biashara. Usipende kumweka ndani kama kuku wa kufugwa bali mpe uhuru wa kuamua atakavyo. Uchagani akina mama wana uhuru sana na tofauti na makabila mengi wanawake wana usemi karibu sawa na wanaume tu.

Zingatia yote hayo mambo yatakuwa safi. Ila kumbuka: usimhifadhi huyo binti chumbani kwa sheria kali. Ukifanya hivyo mara moja utarudi kwao.

Kumbuka wachagga hawavumilii shida zisizoeleweka kwani wengi wana ndugu au marafiki na huwa wanasaidiana sana, hivyo anaweza kusema kwanini nisiende kwa kaka au dada yangu kuliko kuteseka na huyu mme mnyanyasaji.

Mwisho hakikisha unakuwa mtu mwenye msimamo na mpenda maendeleo, hapo mtakaa pamoja lakini ukiendekeza umaskini na umwinyi atatimkia kwao mara moja.

Ndivyo dada zangu walivyo mkuu. Kila la heri.
 
Mkuu wengi wamesema ila nataka nikuambie hivi; huyo alitaka kukuambia humfai aliposikia kuwa weye ni Mmakonde. Mchaga, ale nyama banaa, haswa kitimoto. Sasa weye, mmakonde na samaki nchanga!!!
Jamani, wapi na wapi?? Mbona sisi tunaye mchaga, tumekaa naye miaka 40 na kwao akienda hamalizi mwezi kabla hajarudi hapa kwangu. Alikuwa hajui kuunga kwa nazi, leo kamzidi mwanamke wa Kitanga.
Aliona huna lolote, pesa si kuwa nazo mfukoni, pesa ni kujua kuzitumia, Weye, hujui ni Mmakonde tu. Mbona kakako Ben anaye na hawaja achana???

We mangatara umenichekesha usiku huu hakuna mfano...!!!! Haya mkuu kumbe tatizo umakonde..!!! Haki ya nani JF kiboko...!!!!
 
We chukua hao mabinti ili mradi usimyanyase wala kumzuia kwenda Moshi kila Christimas. Pia mpe uhuru wa kufanya kazi na biashara. Usipende kumweka ndani kama kuku wa kufugwa bali mpe uhuru wa kuamua atakavyo. Uchagani akina mama wana uhuru sana na tofauti na makabila mengi wanawake wana usemi karibu sawa na wanaume tu.

Zingatia yote hayo mambo yatakuwa safi. Ila kumbuka: usimhifadhi huyo binti chumbani kwa sheria kali. Ukifanya hivyo mara moja utarudi kwao.

Kumbuka wachagga hawavumilii shida zisizoeleweka kwani wengi wana ndugu au marafiki na huwa wanasaidiana sana, hivyo anaweza kusema kwanini nisiende kwa kaka au dada yangu kuliko kuteseka na huyu mme mnyanyasaji.

Mwisho hakikisha unakuwa mtu mwenye msimamo na mpenda maendeleo, hapo mtakaa pamoja lakini ukiendekeza umaskini na umwinyi atatimkia kwao mara moja.

Ndivyo dada zangu walivyo mkuu. Kila la heri.

Duh...!!! Bonge la ushauri mkuu wangu..!!!! Lakini sasa ile tabia yao ya kuua mume ipo bado ama siku hizi imepotea...!!!!
 
Mkuu siyo ubaguzi. Amini kuwa kila kabila lina kipaji chake. Mchaga kipaji ni hela. Mndengereko kipaji ngoma. Mgogo kipaji kuomba. Mkurya kipaji ugomvi. Mmasai kipaji ufugaji na uwindaji. Mkinga kipaji uchawi pamoja na Swanga. Na mengine mengi. So kwa mchaga nilifuata kipaji chao. Ulitaka nimchukue mndengereko ili kila week end aniage anakwenda ngomani....!!?? Si angenimalizia hela kabisa....!!!!!

Mkinga kipaji uchawi! Nani kasema? Hebu futa kuali hiyo tafadhali.
 
Usithutu
Hawafai hao watu kila siku wanalalamika hapa
Hao ni wakupiga na kuwacha hata ku2azoea hawafai kudadadeki zao
 
We chukua hao mabinti ili mradi usimyanyase wala kumzuia kwenda Moshi kila Christimas. Pia mpe uhuru wa kufanya kazi na biashara. Usipende kumweka ndani kama kuku wa kufugwa bali mpe uhuru wa kuamua atakavyo. Uchagani akina mama wana uhuru sana na tofauti na makabila mengi wanawake wana usemi karibu sawa na wanaume tu.

Zingatia yote hayo mambo yatakuwa safi. Ila kumbuka: usimhifadhi huyo binti chumbani kwa sheria kali. Ukifanya hivyo mara moja utarudi kwao.

Kumbuka wachagga hawavumilii shida zisizoeleweka kwani wengi wana ndugu au marafiki na huwa wanasaidiana sana, hivyo anaweza kusema kwanini nisiende kwa kaka au dada yangu kuliko kuteseka na huyu mme mnyanyasaji.

Mwisho hakikisha unakuwa mtu mwenye msimamo na mpenda maendeleo, hapo mtakaa pamoja lakini ukiendekeza umaskini na umwinyi atatimkia kwao mara moja.

Ndivyo dada zangu walivyo mkuu. Kila la heri.

ushauri mzuri nanjilinji mzee wa ntwara njooo
 
Last edited by a moderator:
sasa Kama kweli unampenda siungempa hiyo hela ili umuone tatizo la miwanaume bahili ndio hiyo ukiombwa hata kihela kidogo na mpenzi wako unakimbilia jf kuomba ushauri mxxxxyuuu! badala ungempa nasikuingine kabla hujaombwa unajipendekeza unampa khaaaaa mwanaume gani asietoa hela mwanamke akampenda tena mnajidanganya wanaume wenye tabia hiyo mtaendelea kulalamika wanaume sio waaminifu kumbe nyie mnasababisha 'dawa ya mwanamke hela bwana na dawa ya mwanaume mapenzi' umeshindwa hapo huna bahati
 
Kama unataka kuwa na ndoa ngumu basi oa mchaga!jaribu na utathibitisha!acha jamii hiyo waoane wao kwa wao.ndio ushauri wangu
 
unao uwezo wa kuwaridhisha sita kwa sita usije lia mpwa ukishindwa utaitafuta jf usiioone wa kukusaidia

wazo tu

jipange na all the best
 
sasa Kama kweli unampenda siungempa hiyo hela ili umuone tatizo la miwanaume bahili ndio hiyo ukiombwa hata kihela kidogo na mpenzi wako unakimbilia jf kuomba ushauri mxxxxyuuu! badala ungempa nasikuingine kabla hujaombwa unajipendekeza unampa khaaaaa mwanaume gani asietoa hela mwanamke akampenda tena mnajidanganya wanaume wenye tabia hiyo mtaendelea kulalamika wanaume sio waaminifu kumbe nyie mnasababisha 'dawa ya mwanamke hela bwana na dawa ya mwanaume mapenzi' umeshindwa hapo huna bahati

Latifaa njoo uchukue hela apa magetoni ila vigezo na masharti lazima vizingatiwe!
 
Last edited by a moderator:
sasa Kama kweli unampenda siungempa hiyo hela ili umuone tatizo la miwanaume bahili ndio hiyo ukiombwa hata kihela kidogo na mpenzi wako unakimbilia jf kuomba ushauri mxxxxyuuu! badala ungempa nasikuingine kabla hujaombwa unajipendekeza unampa khaaaaa mwanaume gani asietoa hela mwanamke akampenda tena mnajidanganya wanaume wenye tabia hiyo mtaendelea kulalamika wanaume sio waaminifu kumbe nyie mnasababisha 'dawa ya mwanamke hela bwana na dawa ya mwanaume mapenzi' umeshindwa hapo huna bahati

du kweli wewe latifaaa
 
kaka, kuwa makini na chagua chagua yako.....kumbuka ndoa ni maisha....kazi ni kwako...
 
Kimbia haraka kijana pesa zinakuja na kutoweka inamaana zikitoweka na ndoa haipo hapo potezeaaaa kimbia kijana
 
sasa Kama kweli unampenda siungempa hiyo hela ili umuone tatizo la miwanaume bahili ndio hiyo ukiombwa hata kihela kidogo na mpenzi wako unakimbilia jf kuomba ushauri mxxxxyuuu! badala ungempa nasikuingine kabla hujaombwa unajipendekeza unampa khaaaaa mwanaume gani asietoa hela mwanamke akampenda tena mnajidanganya wanaume wenye tabia hiyo mtaendelea kulalamika wanaume sio waaminifu kumbe nyie mnasababisha 'dawa ya mwanamke hela bwana na dawa ya mwanaume mapenzi' umeshindwa hapo huna bahati

Latifah una mdomi mchafu wewe...!!!! Umenichekesha sana. Basi kakosa bahati yake....!!!!!
 
Back
Top Bottom