Niendelee kutafuta mchaga wa kuoa?

Niendelee kutafuta mchaga wa kuoa?

Dhambi ya ubaguzi wa makabila hiyo. Kwa nini mchanga na isiwe mwanamke yoyote atakaye kufaa. Unabagua ndiyo maana na wewe umebaguliwa.

Kunamakabila sio yakuowa kama mzaramu,mmakonde,mkwere nawengine waukanda huo
Ukiowa ngoma weka nyumbani maana mwaka mzima wanaenda ngomani
 
Mkuu unatafuta mke au kabila la kuoa? Tafute umpendae kabila lije baadae!!

Mm wangu ni cheupe wa marangu ila hana izo.
Sana sana hanitii gharama maana hataki makorokoro ya kujichubua rangi IPO, na kila kitu, yeye ni saluni tu kubadili stahili ya natural hair,,
WACHAGA naona wako poa tu, ila tafsiri zetu ndio ziko biased!!
 
Sasa kama una hela ya kumhudumia mtoto wa fisadi yoyote ulishindwa nini kumpa mchaga wa watu hela?Au hizo ni promo tu

Tatizo Mkisikia Pesa Tu Mnawashwa,we Hujaelewa Topic,alikuwa Anamtest Ili Ajue Kama Ana True Love Au Lah! Maana Anatafuta Mke Wa Kuoa Na Si Starehe.
 
Kunamakabila sio yakuowa kama mzaramu,mmakonde,mkwere nawengine waukanda huo
Ukiowa ngoma weka nyumbani maana mwaka mzima wanaenda ngomani

Hila hizo kabila zote ulizozitaja wapo vizuri sana kitandani. Huwezi ukapewa vyote au kunyimwa vyote.
 
Mkuu siyo ubaguzi. Amini kuwa kila kabila lina kipaji chake. Mchaga kipaji ni hela. Mndengereko kipaji ngoma. Mgogo kipaji kuomba. Mkurya kipaji ugomvi. Mmasai kipaji ufugaji na uwindaji. Mkinga kipaji uchawi pamoja na Swanga. Na mengine mengi. So kwa mchaga nilifuata kipaji chao. Ulitaka nimchukue mndengereko ili kila week end aniage anakwenda ngomani....!!?? Si angenimalizia hela kabisa....!!!!!


Kwa nini usitafute hela kwanza, ili uondokane na dhana ya kutafuta wachaga. Naimani ukiwa na zako ulizozitafuta mwenyewe hutowaza kuoa wa kabila fulani tu. Badala yake utaoa yoyote yule.
 
Ndugu zangu wana JF.

Haja yangu na kiu yangu ilikuwa kuoa mwanamke wa Kichaga kutokana na sifa yao ya kutokaa tu Nyumbani na badala yake kutafuta pesa kwa biashara halali.

Mchaga mmoja binti mzuri alinitaka nami nikamkubali. Kazi yangu ni ya kawaida sana ingawa inaweza kummudu mtoto wa Fisadi yoyote Nchini na kumsahaulisha kwao.

Dada huyu alilazimisha sana tufunge ndoa haraka na mimi nikachelewa kukubaliana naye nikimuomba tuyape muda mapenzi yetu. Nimelala kwake mara mbili ingawa si kwa kuvunja amri ya sita kwa sababu tulikuwa hatujapima,tukapotezana kitambo.

Ulipopinduka Mwaka huu nikaona nimtafute ili sasa nifunge naye Ndoa kwani nimesema Mwaka huu usipite bila kufunga ndoa. Kabla sijamtamkia hilo kaniomba Pesa. Nikamjaribu kwa kumuambia kuwa sina labda mwisho wa mwezi.

Kanijibu kuwa kwake yeye mapenzi ni Pesa,bila Pesa nisiwaze kuwa nitakuwanaye maishani. Nikamuuliza ni kweli ndivyo mlivyo wachaga. Akasema hiyo ni asili yao na hawataacha kuwa hivyo. Sasa nimeduwaa ndugu zangu.

Nishaurini wababe wangu wa michambuo ya maisha niendelee kutafuta mchaga ama niachane nao na nijaribu kabila jingine. Mimi ni Mmakonde pure wa mahuta Umri chini ya 40.

Nisaidieni ndugu zangu.

Utalala kwa mwanamke siku mbili bila kumwonyesha uanaume wako aendelee kukufukiria kama mume mtarajiwa? Dadangu kakutosa mazima.......kuna ulipolala kwake alikuomba pesa kwanini leo hii akuombee pesa?
 
Kabila lako lenyewe unalinyanyapaa, acha kuoa.
 
Kwa nini usitafute hela kwanza, ili uondokane na dhana ya kutafuta wachaga. Naimani ukiwa na zako ulizozitafuta mwenyewe hutowaza kuoa wa kabila fulani tu. Badala yake utaoa yoyote yule.

Duh..!!! Mkuu njuruku si tatizo kabisa sema natafuta atakayenisaidia ziendelee kuwepo hadi nife. Yeye atakuwa ananisaidia katika kupanga mipango mizuri ya kuzizalisha na ndo maana nikaona wachaga wanaweza. Sasa huyu kanistua kidogo....!!!!!
 
Hawajui kunyonya paipu...wanasema uchafu...kukatika hawajui kabisaa..wanajitanua tu wanasoma gazeti wakati we unapiga machine
 
Utalala kwa mwanamke siku mbili bila kumwonyesha uanaume wako aendelee kukufukiria kama mume mtarajiwa? Dadangu kakutosa mazima.......kuna ulipolala kwake alikuomba pesa kwanini leo hii akuombee pesa?

Sasa mkuu tulikuwa hatujapima bado...!!!!! Ningemuonyesha vipi uanaume wangu lakini...!!! Unanionea bure. Mi nilimpenda na kumlinda pia dada yako...!!! Sema kakurupuka sana mkuu....!!!!
 
Back
Top Bottom