cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Mkuu ilikuwa hivi. Huyu jamaa awali alileta post akisema kapata chuo Muhas,matokeo ya kidato cha NNE yalipotoka akaleta tena huu uzi. Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha clubNyinyi acheni mbwembwe kama mnamshauri mwambien who z best PCM o PCB cio mnamletea zengwe au ndo mmesoma HGL
[quote uid=416094 name="Bacary Salama" post=19786940]Nyinyi acheni mbwembwe kama mnamshauri mwambien who z best PCM o PCB cio mnamletea zengwe au ndo mmesoma HGL[/QUOTE]<br />Mkuu ilikuwa hivi. Huyu jamaa awali alileta post akisema kapata chuo Muhas,matokeo ya kidato cha NNE yalipotoka akaleta tena huu uzi. Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha clubThing about our society, ukifaulu u are expected usome PCB /PCM...wengine hapa we had no dreams of studying medicine bas tu sjui Ni maslahi sjui Ni dhana Kama ukifaulu uende masomo ya science..I was the best debator in my school,dreams nyingiiii ukiwa secondary..nlichukua science akati law ndo kitu nlichotakiwa niwe nasoma saiv...anyway,hongera,Kama unataka kuchukua science basi study PCB,kaza buti A level sio mchezo..kozi za afya ziko kibao,utafika.
[quote uid=416094 name="Bacary Salama" post=19786940]Nyinyi acheni mbwembwe kama mnamshauri mwambien who z best PCM o PCB cio mnamletea zengwe au ndo mmesoma HGL[/QUOTE]<br />Mkuu ilikuwa hivi. Huyu jamaa awali alileta post akisema kapata chuo Muhas,matokeo ya kidato cha NNE yalipotoka akaleta tena huu uzi. Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha clubKama kwa ufaulu huo bado unauliza uende wapi ambapo utafaulu vizuri basi mi nakushauri nenda WCB
najaribu kufikiria IQ ya huyu jamaa kama inamzidi hata chizi anayeweza kuvuka barabara ya mjini...!!!🙁Ha ha ha, watu mmesha ifanya JF kama kijiwe cha kahawa, hata wanaohitaji msaada wa ukweli wanaweza kukosa kwa sababu ya hizi stories za kutunga.
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club
Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?
Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu
Muhas Hiyoo, Nasubiria tuu jina langu hapa
Msaada nataka ku appeal mitihani ya taifa
Ha ha ha, watu mmesha ifanya JF kama kijiwe cha kahawa, hata wanaohitaji msaada wa ukweli wanaweza kukosa kwa sababu ya hizi stories za kutunga.
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club
Ardhi, SUA na Muhimbili kipi chuo kigumu?
Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu
Muhas Hiyoo, Nasubiria tuu jina langu hapa
Msaada nataka ku appeal mitihani ya taifa
AmeshaumbukaTukuelewejw mleta Uzi????
Waliosoma mchepuo wa PCB tukutane hapa
Huu Uzi wako na Uzi wa Leo tuchukue lipi?
Mwanzoni ulisema umesoma PCB halafu Leo unaleta matokeo ya kidato cha NNE???