mimi mweusi kabisa nimezaliwa Nsangamwalugeshi Bariadi watanibagua kwa nini? huko hakuna watu wenye ngozi nyeusi?Australia inaongoza kwa ubaguzi wa rangi labda kama wewe ni mzungu ila kama ni mweusi bora uende canada
Watu weusi Australia wapo ila ndo hivyo wanabaguliwa hasahasa wale wa tabaka la chini Ukitaka usibaguliwe labda uwe ni msomi au ni nwanafunzi unaejiweza au uwe unafanya kazi ya kueleweka ila ndo kama unategemea kutafuta maisha kwa kufanya kazi za vijungujiko tegemea ubaguzi wa hali ya juu sana lakini kama we ni mwanamke jihadhari ukiingia kichwakichwa ujue kwamba kuna human trafficking.mimi mweusi kabisa nimezaliwa Nsangamwalugeshi Bariadi watanibagua kwa nini? huko hakuna watu wenye ngozi nyeusi?
Je Canada wako weusi wengi sana? na waTanzania je?
Watu weusi Australia wapo ila ndo hivyo wanabaguliwa hasahasa wale wa tabaka la chini Ukitaka usibaguliwe labda uwe ni msomi au ni nwanafunzi unaejiweza au uwe unafanya kazi ya kueleweka ila ndo kama unategemea kutafuta maisha kwa kufanya kazi za vijungujiko tegemea ubaguzi wa hali ya juu sana lakini kama we ni mwanamke jihadhari ukiingia kichwakichwa ujue kwamba kuna human trafficking.
Australia utaishia kuwa mchunga kondoo.naskia huko kuna wale aborijino, si wanafanana tu na sisi? na wabaguliweje wakati ni kwao? asante kwa ushauri mkuu
Mimi ninakushauri kuwa, nenda Canada au Australia.
Unataka kwenda kama mwanafunzi, mtalii au nani..ila yote kwa yote nakushauri uende Canada.Igweeeeeeeeeeee!
wadogo mambo, wakubwa shkamoni
Nachukua nafasi hii kuomba ushauri kwenu wakaka zangu na wadada popote mlipo. Eti jamani kati ya kwenda kusoma na kutafuta maisha (kua raia kbs) wapi ni rahisi na maisha yake sio magumu? naomba na mifano ya maeneo kbs maana hizo nchi ni kubwa sana,naimani kuwa kuna watu wako Canada na wengine wako Austrelia.
Asanteni sana mbarikiwe
Australia inaongoza kwa ubaguzi wa rangi labda kama wewe ni mzungu ila kama ni mweusi bora uende canada