Ahsanteni japo kwa hayo,ni kwamba nina rafiki yangu aliekua mkimbizi katika kambi za nyarugusu,kasulu alibahatika kuchukuliwa na sasa yupo america ninawasiliananae kwa barua pepe,ninatamani nimuombe msaada wowote ule nashindwa jinsi ya kuanza nisaidieni wana jf.