Beatrice Kingsley
Senior Member
- Aug 20, 2018
- 102
- 104
- Thread starter
- #41
Karibu...kingine humu pia kuna pm kama DM za insta au inbox za fb ..kasoro messenger tu huku haipo
Hapana nacopy tu jamanUnaonekana unajua Kutukana matusi yale mazitomazito.
Ooh sawa nishaanza kuelewa sasaKaribu...kingine humu pia kuna pm kama DM za insta au inbox za fb ..kasoro messenger tu huku haipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia hujasema unaishi wapi na namba yako inayopokeaga miamala ya pesa kwa ajili ya kupokea gawio
Sent using Jamii Forums mobile app
naishi Nairobi na natokea Arusha sina namba ya sim
huu mlolongo wa comment huwa tunauita Uzi au thread kwa kimombo. Sio Uzi wa kushonea viatu au nguoOooh![]()
![]()
huu mlolongo wa comment huwa tunauita Uzi au thread kwa kimombo. Sio Uzi wa kushonea viatu au nguo
Sent using Jamii Forums mobile app