Nielewesheni tofauti ya AM na PM

Nielewesheni tofauti ya AM na PM

hope hope

Senior Member
Joined
Sep 25, 2016
Posts
138
Reaction score
74
Wakuu nimekuwa nikipata shida sana naomba anaejua AM inaanza saa ngapi na kama inaisha saa ngapi animbie pamoja na PM pia

==========

AM na PM inatumika ktk mfumo wa masaa 12, sio masaa 24.
Hivyo ukiona namba kisha ina AM au PM, jua kwamba ni mfumo wa masaa 12, usitegemee kuona AM na PM ktk muda kama 1300, 1547 1800 etc.

AM kirefu chake ni ANTE MERIDEAM (before middday-kabla ya mchana) na PM kirefu chake ni POST MERIDEAM (past midday-Baada ya mchana).

AM huanza kutumika saa sita usiku mpaka saa tano na dk 59 asubuhi. Pm hutumika kuanzia saa sita mchana mpaka saa tano na dk 59 usiku.
 
AM na PM itatumika ktk mfumo wa masaa 12, sio masaa 24.
Hivyo ukiona namba kisha ina AM au PM, jua kwamba ni mfumo wa masaa 12, usitegemee kuona muda kama 1300, 1547 1800 etc.

AM kirefu chake ni ANTE MERIDEAM (before middday-kabla ya mchana) na PM kirefu chake ni POST MERIDEAM (past midday-Baada ya mchana).

AM huanza kutumika saa sita usiku mpaka saa tano na dk 59 asubuhi. Pm hutumika kuanzia saa sita mchana mpaka saa tano na dk 59 usiku.
nmekuelewa vzurimkuu thanks
 
AM na PM inatumika ktk mfumo wa masaa 12, sio masaa 24.
Hivyo ukiona namba kisha ina AM au PM, jua kwamba ni mfumo wa masaa 12, usitegemee kuona AM na PM ktk muda kama 1300, 1547 1800 etc.

AM kirefu chake ni ANTE MERIDEAM (before middday-kabla ya mchana) na PM kirefu chake ni POST MERIDEAM (past midday-Baada ya mchana).

AM huanza kutumika saa sita usiku mpaka saa tano na dk 59 asubuhi. Pm hutumika kuanzia saa sita mchana mpaka saa tano na dk 59 usiku.
huwez amini leo ndo nimepata kujua kirefu cha AM & PM,

kumbeeeee,
 
Back
Top Bottom