Nidhamu ya watangazaji wa Clouds Media

Nidhamu ya watangazaji wa Clouds Media

Acha ushamba wewe. Wewe utakuwa kama yule wakili feki aliyemsalimia jaji shikamoo
 
We unatuwekea Uzi kama huu kwanza watu wazima siku hizi ukiwasalimia hawajibu alafu mambo ya umbea post kule
 
Hivi ni kweli akina Shaffi Dauda na watangazaji wenziwe hawawezi kumpa KHESHIMA yake Alhadji ISMAIL ADEN RAGE japo ya kumpa salaam inayomstahili ya SHIKAMOO Ati. Habari gani Ragge hebu tuambie sheria inasemaje. Mchezo ukivunjika. Pasipo hata kumpa salaa kama kaka yao au baba
Inasikitisha sana
kapiga au ngoma? Yule Dada Wa 360? Wale madogo Wa shilawadu na Mr ayo wanastahili kumpa shikamoo
 
Acha Uwongo na kutaka kuwatafutia Chuki hao Watangazaji kwa Wasikilizaji wao. Ukweli ni kwamba hata Mimi mwenyewe niliisikia ile ' interview ' yao na Mzee Rage na hata ikirudiwa kokote pale utamsikia Shaffi Dauda ameanza kumkaribisha Mzee Rage na akamuamkia kabisa Shikamoo ndipo na Mtangazaji mwenzake nae Alex Luambano akamsalimia hivyo hivyo Shikamoo. Kwa hili nitawatetea hadi Kaburini kwani nimeshuhudia kwa Kusikia kwa masikio yangu mwenyewe labda Wewe ulikuwa ' busy ' tu na mambo yako mengine ya Kifamilia.
Heshima idumishwe.Wameibuka chipukizi wengi sana kwenye fani ya utangazaji kiasi kwamba wengine hawawafahamu ma legendary muhimu Wa siku za nyuma.
 
Back
Top Bottom