Hivi ni kweli akina Shaffi Dauda na watangazaji wenziwe hawawezi kumpa KHESHIMA yake Alhadji ISMAIL ADEN RAGE japo ya kumpa salaam inayomstahili ya SHIKAMOO Ati. Habari gani Ragge hebu tuambie sheria inasemaje. Mchezo ukivunjika. Pasipo hata kumpa salaa kama kaka yao au baba
Inasikitisha sana
Utoto na ujinga ujinga mwingi. Inaonekana anakula kwao mpaka atoe kwanza shikamoo.Mambo mengine jamani
Povu la nini wala uongo hauwi sabuni ikatakasa ukweli. Isiwe kesi kipindi kipo na iwapo kosa basi Gentamycin kama ilivyo dawa ya sindano , katu haiwi Syrup ikachomwa mwilini Lwambano ndiye aliyesema huyu hapa Rage na kumwmbia hayo , kama alimsalimu Alhaj , basi sikio lako lahitaji dawa StreptomycinAcha Uwongo na kutaka kuwatafutia Chuki hao Watangazaji kwa Wasikilizaji wao. Ukweli ni kwamba hata Mimi mwenyewe niliisikia ile ' interview ' yao na Mzee Rage na hata ikirudiwa kokote pale utamsikia Shaffi Dauda ameanza kumkaribisha Mzee Rage na akamuamkia kabisa Shikamoo ndipo na Mtangazaji mwenzake nae Alex Luambano akamsalimia hivyo hivyo Shikamoo. Kwa hili nitawatetea hadi Kaburini kwani nimeshuhudia kwa Kusikia kwa masikio yangu mwenyewe labda Wewe ulikuwa ' busy ' tu na mambo yako mengine ya Kifamilia.
Ww jamaa utakuwa mkoloni sana, huko unapoishi nahisi unapenda sana kunyenyekewa, kutoa shikamoo au kutotoa inategenea na jinsi mnavyoishi , Rage ni MTU wa kujichanganya sana na watu alafu ni kama msela flani hivi....Hivi ni kweli akina Shaffi Dauda na watangazaji wenziwe hawawezi kumpa KHESHIMA yake Alhadji ISMAIL ADEN RAGE japo ya kumpa salaam inayomstahili ya SHIKAMOO Ati. Habari gani Ragge hebu tuambie sheria inasemaje. Mchezo ukivunjika. Pasipo hata kumpa salaa kama kaka yao au baba
Inasikitisha sana
Marco Polo kwa kusema hivyo tu naona ni hulka gani uliyonayo mathalan kama ni mlegeza suruali then ubadilike kheshima si ukoloni ni UADILIFU ,tuwape kheshima wakubwa wetu inakuathiri nini. Rage ni mtu wa kujichanganya je alikataa kuheshimiwa ? Hawa wtangazaji wakijirekebisha ni kipi watapungukiwa .Mathalani siku wakihoji story ya marehemu Mabeta Arthur walimuhoji Alhj Rage na kwa mtindo ule ule No repectifull salaamu Ati Oya Mzee Rage uko live hapa na XXL kweli no vijana [emoji19][emoji32][emoji14][emoji32]Ww jamaa utakuwa mkoloni sana, huko unapoishi nahisi unapenda sana kunyenyekewa, kutoa shikamoo au kutotoa inategenea na jinsi mnavyoishi , Rage ni MTU wa kujichanganya sana na watu alafu ni kama msela flani hivi....
Povu la nini wala uongo hauwi sabuni ikatakasa ukweli. Isiwe kesi kipindi kipo na iwapo kosa basi Gentamycin kama ilivyo dawa ya sindano , katu haiwi Syrup ikachomwa mwilini Lwambano ndiye aliyesema huyu hapa Rage na kumwmbia hayo , kama alimsalimu Alhaj , basi sikio lako lahitaji dawa Streptomycin
Unatoa maoni wakati hata chumba cha habari hukijuiHivi ni kweli akina Shaffi Dauda na watangazaji wenziwe hawawezi kumpa KHESHIMA yake Alhadji ISMAIL ADEN RAGE japo ya kumpa salaam inayomstahili ya SHIKAMOO Ati. Habari gani Ragge hebu tuambie sheria inasemaje. Mchezo ukivunjika. Pasipo hata kumpa salaa kama kaka yao au baba
Inasikitisha sana
Shikamoo ndugu mgeni rasmiHivi ni kweli akina Shaffi Dauda na watangazaji wenziwe hawawezi kumpa KHESHIMA yake Alhadji ISMAIL ADEN RAGE japo ya kumpa salaam inayomstahili ya SHIKAMOO Ati. Habari gani Ragge hebu tuambie sheria inasemaje. Mchezo ukivunjika. Pasipo hata kumpa salaa kama kaka yao au baba
Inasikitisha sana