Nidhamu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ ) hakika ni ya kutukuka

Tuhuma kuwa Rais Magufuli analindwa na kikosi toka Rwanda ni aibu kwetu ...lazima msemaji wa serikali atoke hadharani...juu ya hili.
Vyombo vya ulinzi haviwezi kubali hii aibu ....Rais na amiri jeshi...mkuu kulindwa na wageni ?????? Tumekosa watu ?

Kingine kwanini rais hajiamini namna hii mbele ya jeshi anaogopa nini ...au kwakuwa sio raia ....alikuwa anaita askari Ikulu kuwapa nyota ...baada ya majenerali kumwambia sio utaratibu aende chuoni kwao ..bado anaogopa kawaita uwanja wa...mpira shame ..shame ..shame .....
Hakuna rais duniani ambaye ameshindwa kufika vyuo vya kijeshi kutimiza majukumu yake kama amiri jeshi mkuuu,Hiii ni aibuuu
Aibu
Aibu
Nimesikia umesema tuhuma?zezeta embu rudia kusoma ujinga wako hlf ufute hrk
 
Hili jibu limenichefua, tatizo lenu ni kujivika utukufu kupita mnavyostahili. Msijaribiwe kwa kuwa ninyi ni nani?ni kwa kujua kutumia bunduki na mabomu? Utadhani ninyi ni very special. Hamuugui kwani?hamuumizwi kimapenzi? hamlii misibani?hamkopi hela? Hamkuzaliwa? Sasa mbona nikiangalia naona ninyi na sisi tuko sawa. Na kama tuko sawa kwanini tusiwajaribu? Huo upekee wenu ni upi basi? Ninavyojua ni Mungu pekee asiyejaribiwa. Comment yako ni ya kukurupuka. Sio kosa lako. Tatizo huwa mnakuwa trained hivyo hamjui namna ya kutoa maoni.
Kama wewe mwanaume nenda na mkeo na watoto pale tu Lugalo then kawajaribu hao wanaitwa JWTZ kama mkeo hata toa kilio cha msiba pale.
 
Kiukweli Jeshi letu JWTZ ni moja ya Majeshi yenye nidhamu ya hali juu sana Katika Medeni za kijeshi.

Hii imekuwa ikitolewa kama mfano ktk mezani za kimataifa hasa JWTZ wanaposhiriki mission tofauti chini ya Umoja wa Mataifa kama Majeshi ya kilinda AMANI Yale maeneo yenye migogoro ya kivita wenyewe kwa wenyewe.

Ni nadra sana kusikia JWTZ wamefanya matukio yasiyo ya kinidhamu kijeshi ktk hizo mission ukilinganisha na Majeshi kutoka nchi nyingine.

Hongera sana makamanda kwa mafunzo kwa vijana wetu wa Jeshi la Ulinzi kwa kazi nzuri mnayoifanya.

Tanzania na watanzania wako na nyingi kwa hali na Mali kuhakikisha nchi inabaki kuwa salama toka adui yoyote yule.

Hiyo nidhamu umeipima kwa vigezo gani kupiga raia ndio nidhamu
 
Nalipa pongezi jedhi letu kwa kazi wanayo ifanya anae bisha na kuzalau jeshi ajalibu aone ndipo atajua lina nguvu kiasingani au linambinu kiasingani naona kuna watu hua wanajalibu sumu kwakulamba jeshi halijalibiwi ukifanya uhalifu linakulamba halijali sula
Refer Kibiti.
 
JWTZ,nawakubari sana,ila na wao hawatakiwi kufumba macho mambo yanapokwenda mrama nchini,hawa wana kitengo cha military intelligence,walikuwa wapi,wakati nchi inaingia kwenye midomo ya majizi,mikataba mibovu,escrow,meremeta,epa,
Hata kama hamna uwezo kikatiba,wa kukamata,mnaenda undercover,mnakusanya ushaidi,kama mngekuwa na ushaidi,Leo hii,Mh raisi,asingepata tabu sana,
 
Tuhuma kuwa Rais Magufuli analindwa na kikosi toka Rwanda ni aibu kwetu ...lazima msemaji wa serikali atoke hadharani...juu ya hili.
Vyombo vya ulinzi haviwezi kubali hii aibu ....Rais na amiri jeshi...mkuu kulindwa na wageni ?????? Tumekosa watu ?

Kingine kwanini rais hajiamini namna hii mbele ya jeshi anaogopa nini ...au kwakuwa sio raia ....alikuwa anaita askari Ikulu kuwapa nyota ...baada ya majenerali kumwambia sio utaratibu aende chuoni kwao ..bado anaogopa kawaita uwanja wa...mpira shame ..shame ..shame .....
Hakuna rais duniani ambaye ameshindwa kufika vyuo vya kijeshi kutimiza majukumu yake kama amiri jeshi mkuuu,Hiii ni aibuuu
Aibu
Aibu
!???
 
kiongozi mbona kama sikosei mwaka jana alienda hapo monduli na kutoa nishani pia ,unapojua kuongea kwa mihemko pia ukumbuke kuwekga kumbukumbu vizuri, si mtetei magu,ila kama umekuwa mfuatiliaji utaona vitu vingi jamaa anavifanya nnje ya mazoea ya watanzania,mfano sherehe za muungano kwa mara ya kwanza mwaka huu zilisheherekewa nnje ya dar es salaam,kama sikosei ni dodoma au shinyanga,so jitahidi kuizoea aina hii ya utawala wa bwana magufuli,kwani anafanya vitu ambavyo watanzania wengi hatujavizoea ikiwemo nnje ya taratibu zilizokuwa miaka nenda rudi.

Pia kwa suala la kugawa nisahni nnje ya kambi sidhani kama anakiuka taratibu,kwani si sheria kwa hizo nishani lazima ati zigaiwe kwenye makambi
 
Nalipa pongezi jedhi letu kwa kazi wanayo ifanya anae bisha na kuzalau jeshi ajalibu aone ndipo atajua lina nguvu kiasingani au linambinu kiasingani naona kuna watu hua wanajalibu sumu kwakulamba jeshi halijalibiwi ukifanya uhalifu linakulamba halijali sula
Umejitahidi ila hapa
Cc:FaizaFoxy
 
Heshima ipi tena hiyo?
Ni ile ya kumpigia saluti Bashite?

Au ni ile ya kudaiwa kugeuzwa kuwa chombo cha kueneza propaganda cha CCM?

Au ni ile ya kugeuzwa kuwa chombo cha kisiasa cha watawala?

Au ni ile ya kushiriki kukimbiza mwenge?

Au ni ile ya kudaiwa kuanza kulipa kidogo kiidogo pesa wanazodaiwa na TANESCO?
We dogo sisi hutujui na hutokuja kutujua hata kidogo kuhusu utendaji wetu wa kazi. Narudia tena Kukuonya
 
Back
Top Bottom